Udhibiti wa matumizi mabaya ya fedha za umma,je nini kifanyike? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhibiti wa matumizi mabaya ya fedha za umma,je nini kifanyike?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by emmz'd, Apr 27, 2012.

 1. e

  emmz'd Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mjadala unaendele ITV watch out wana jf jinsi mrema anavyotema cheche.
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  watakao thibitika kutafuna pesa za umma wanyongwe na kuwe na mahakama maalum ya kushughulikia maswala ya mafisadi...
   
 3. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  duh... Mada nzuri.... Jukwaa lisilo...
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,058
  Likes Received: 6,505
  Trophy Points: 280
  Mtatujuza wengine tulishaachana na tv za bongo.
   
 5. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  tuache UROHO wa kijinga. Nchi nyingi kuna ulaji, lakini ujinga ndo unatuua TZ. Elimu yetu inazalisha ROBOTS zaidi kuliko watu wenye upeo
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  hivi zinaweza kuitwa cheche hata kama hazina moto?
   
Loading...