Zitto na pesa za sensa ya watu

Zitto na pesa za sensa ya watu

Hizo fedha wangezikusanya na chama kununua madawati kwani kuzirudisha pengine zaweza tumiwa tena kwa matumizi mengine ambayo si msingi.
 
Imefika sasa wakati sisi wananchi tusinyamaze kimya kwani nchi hii watu wameshaifanya ni mradi wao.
Hongera kamati kuu ya CDM na zitto.
 
Yaani JK anawashughulikia mawaziri wabadhirifu huku Bunge nalo linajimegea! Aaaah jamani Bunge mbona hivyo waoneeni huruma Watanzania. Yaani kila kitu deal. Yaani kil mbunge millioni ina maana zaidi ya millioni 300.
 
zipelekeni bungeni mkanunue madawati maana mkirudisha watazila hao watu maana wanakula hela za serikali kila siku
 
[Serikali imekuwa sikio la usaa ukilitibia kwa hili linavuja kwa lile.]

Kwa kesi hii bunge ndo tatizo!!!
 
Wamepangua kona ya mawaziri kujihuzuru sasa hii ni penati kasababisha kipa makinda kumuangusha zito kwenye box,cjui kama ataweza kuokoa mpigaji mwenyewe cdm peoplez power!wananchi wameanza kushangilia ushindi huku mpigaji akijiandaa.i love tz.
 
430005_368355079849768_100000258363304_1344855_900140523_n.jpg

rushwa-mke-mume.jpg Ukiwa na wazazi kama hawa what do you expect?
 
Kweli hii nchi ya kusadikika! Watu hatuna hata uhakika wa kula wengine wanapewa pesa bila kufanyia kazi, watoto kwenye majimbo yao wanakaa chini lakini wabunge wetu wala vichwa havishituki na kuwauma. Anyway, mwisho wao umekaribia kuliko ilivyokuwa mwaka jana.
 
Laana kitu mbaya sana.Hivi ni nani aliewalaani watawala wa nchi hii??Yaani kutoa elimu ya sensa tu miloni milioni!
 
Wabunge wa ccm embu nanyie rudisheni hizo pesa hamtuonei huruma jaman. Nawasiwasi na kashillila na yeye atakuwa kajilipa.
 
"Msipo nichagua mtananikumba" Dr Slaa. Tukamchagua wakamchakachua. "Kuendelea kuichagua ccm ni maafa" Dr Slaa. Walio pigia kura ccm wametuingiza kwenye maafa.
 
Mimi nadhan kwa serikali hii, hata mkirudisha hizo fedha haisaidi, hata watanzania wengi bado hawajajua magnitude ya tatizo hili la Posho.

Sasa ingekuwa busara, kama CDM wangeanzisha Community Fund ili hizo Posho wanazopinga lakin wanapewa, waziweke huko kisha kuzitumia kwa maslah ya Jamii. Hii ingewaamsha wananchi kupinga posho tofauti na kurudisha. Mfano, wabunge 48 wa CDM ni sawa na 48M. Hapa tungepata madawati mangapi? Je vijana wangapi wangeacha kukalia mawe darasani?
 
bi kiroboto ana akili kweli, anaendelea methali za waliochoka kuwa ukuwa nacho unaongezewa hiyo ni rushwa, naona anatakaka kuvuruga ishu ya zito dhidi ya pm,wazipeleke kuimarisha uchumi mbona bidhaa bei zinapaa,serikali ya kihuni
 
Mi naonga mkono hoja pesa zikusanywe kwenye mfuko wa chama tutengeneze madawati tusambaze mashuleni.
 
Back
Top Bottom