Siri ya kuvunja baraza la mawaziri yafichuka kumbe JK ndo alikuwa ang'olewe

Hata mshirika mwenzako Rejao atatoka kapa. Wenye upeo tumeshaelewa kitambo, na huo ndio ukweli. Chezea Deo wewe!

Mungi hivi uwa unaenda hata Church nenda basi JF ipo tu.
 
Tuwe wakweli jamani, hakuna seriousness ya kumng'oa jk kt uraisi hasa ukizingatia wabunge wengi wa ccm wamesaidiwa na usalama wa taifa pia serikali ya jk kuupata ubunge baada ya kuwa wameshindwa na kisha kuchakachua matokeo.
Hivi mfano masele wa shy mjini, nagu, wa geita, kibaha mjini, dr. Mahanga, kafumu, kigwangala, wa kigamboni na wengine wengi walishinda wale? Hawa hawawezi kumg'oa jk hawa ubunge walipewa na serikali ya jk na si wananchi
zaidi bado jk anaprove failure, hii ya mawaziri ni just part ya ufisadi unaoendelea kufanyika, jairo kachukuliwa hatua gani? Msanii sana uyu ili nis shinikizo la nguvu ya umma ndo kaliogopa pia cc ya ccm imeogopa pia
 
Hivi unawajua viongozi madikteta wewe au unaropoka tu kwa sababu umepata nafasi ya kuandika JF..ebu tufahamishe udikteta wa Kikwete ni upi?

Mkuu umeahidiwa viti maalumu nini!!!!!.. maana yake umevimba mishipa ya shingo kumtetea ******.....
 
Viongozi madikteta km kikwete dawa yao kuwaangusha,maana tayari wamelaaniwa.

Kikwete SI dikteta hata kidogo!
Tatizo la Kikwete ni indecision; he is undecisive.
na managemet ya watu ni decision-making,
acurate, timely, decision-making.
Unapewa sources of intelligence kukuwezesha kuamua
at the snap of a finger.

He is undecisive. Why?
na hili ndilo limeharibu sifa yake.
na nina hakika ataingia katika historia ya Tanzania
vibaya kwa sababu hii tu!

management = accurate, timely, decision making
bad(inaccurate, late) decision making = bad management

Futa kabisa neno dictatorship. Ungesema he is too soft, labda hapo...
 
ni upepo tu . . . unapita. hivi vijimisemo JK huwa anapewa na yule kilaza anaitwa Bansen Bana.
 
hata wewe ritz una mawazo ya kidikteta, kama kikwete! Wabunge wa ccm wanaona uozo wa serikali ya JK, lakini wewe huoni. JK anaujua umakini wa Chadema, na mkakati wake ni kubaka hoja za Chadema, na kuzifanya za ccm bado huoni tu!

Santesandy,
Hivi Rais Kikwete asingempa CAG meno wewe ungeyajua haya JK ndio alikuwa wa kwanza kuipitia hiyo ripoti kabla ya bunge, karuhusu hiyo ripoti ijadiliwe na sasa hivi Rais anaifanyia kazi anavunja baraza la mawaziri kuna dikteta uwa anakuwa hivi?
 
Santesandy,
Hivi Rais Kikwete asingempa CAG meno wewe ungeyajua haya JK ndio alikuwa wa kwanza kuipitia hiyo ripoti kabla ya bunge, karuhusu hiyo ripoti ijadiliwe na sasa hivi Rais anaifanyia kazi anavunja baraza la mawaziri kuna dikteta uwa anakuwa hivi?

Highlander kanisaidia, JK is too soft! Kila kitu anacheka cheka tu, ana kigugumizi cha maamuzi. Fungua macho ritz, nchi iko vibaya hii. Usikose uzalendo kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa. Kiukweli mimi siyo mwanachama wa Chadema, lakini ni mzalendo. Hata Chadema wakifanya ndivyo sivyo sitawashabikia kwenye ujinga.
 
Hayo uluyoyaandika ndo yameandikwa kwenye gazeti la nipashe au umeandika ya kwako maana inavyoonekana hata gazeti la nipashe hujalisoma ila umesikia kwenye uchambuzi wa magazeti ndo maana habari yako ina hang tu.
 
Viongozi madikteta km kikwete dawa yao kuwaangusha,maana tayari wamelaaniwa.

Angekuwa dikteta ungekuwa una uwezo wa kuongea haya leo?

Hukuwepo wakati wa Nyerere, sio makosa yako ni utoto tu unakusumbuwa. ukikuwa utaacha.
 
Ikiwa hivyo basi wabunge wa CCM watakuwa wanakaribia kuiva. JK nae saizi ni wakati wa kufanya mambo ambayo wananchi wanayategemea.
 
Ndugu zangu mbona mi hiyo siri sijaiona kwny post au itaelezwa baadae?
 
Hilo liko wazi kuwa hatuna imani na rais mwenyewe + serikali yake.

Afueni yoyote ya sasa ni shortlived. Lazima atoke maana amekuwa mzigo, maumivu na laana kwa Tz. We just cannot contemplate a day with hime at helm.

Ktk ccm hakuna watu safi 2, je yuko tayari nchi iwe na mawaziri wawili tu?
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom