Polisi msimbazi aibu soma yanayotokea usiku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi msimbazi aibu soma yanayotokea usiku

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by KALYOVATIPI, Apr 29, 2012.

 1. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  pale nyuma ya jengo la msimbazi polisi ni mahala ambapo labda kungefilika ni salama lakin ni kinyume ifikapo saa za usiku kuna vitendo vya ukabaji na ushoga nina uhakika polisi wanalijua hilo kwa sababu ni umbali kama wa mita kumi na sehemu wanazoish na sijui kwa nini wanafumbia macho najenga wasiwasi kwamba wanahusika na haya mambo
   
 2. M

  Mbuli Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  unauliza tena. Polis haohao ndio mashoga na majambazi.
   
 3. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Ooh...oooh!!Kawaida yao, labda hao "vibaka" wangekuwa wapinzani wangeshuulika.
   
 4. Straddler

  Straddler JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Unategemea nini kutoka kwa watu wanaoshindwa hata kusafisha mazingira ya nyumba wanazoishi?
   
 5. e

  emmz'd Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wako bize na taarifa za kiintelijensia kuhusu siasa za upinzani hayo mengine hayawahusu.
   
 6. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Na ushoga kaka? Yan kuna wasen** kama tunaishi enzi za sodoma
   
 7. Mzalendo Mkuu

  Mzalendo Mkuu JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 738
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Matatizo ya polisi yatakuja mengi sana. Hebu fikiria: viongozi wakiwashindwa watoto wao wanawapeleka polisi. Inashangaza sana. Hivyo polisi ni mkusanyko wa vijana walioshindikana kwa wazazi wao. matatizo ni makubwa zaidi.
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  wamekukaba mkuu??mbona ni watoto wa polisi haohao hapo quarter
   
 9. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  walimkaba rafiki yangu ramso haf nikaenda mgahbwani nikasikia watu wanapasifu
   
 10. KISHOKA_ZUMBU

  KISHOKA_ZUMBU Senior Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 163
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  :frusty: HII NI AIBU KWA TAIFA LETU, USALAMA GANI HUO SASA???????
   
 11. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  eh sa ka mtu anakabwa karibia na kituo cha polisi sasa huko mtaani kwengine kutakuaje
   
 12. k

  kaeso JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hapo askari watakuwa wanahusika moja kwa moja...
   
 13. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Walimkaba pekee au na ku-Cameroon pia?
   
 14. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  unaambiwa kuna mashoga wana camerooniana wao kwa wao
   
 15. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa hali mbaya ya askari wetu,kiuchumi utakuwa na uhakika gani kwamba baadhi yao hawajajiajiri katika huo ukabaji?kama mashoga wapo hapo basi ujue wanapata wateja hapo,sasa usiulize nani mteja,maana hata wewe ukianza biashara yako leo si lazima utaisogeza karibu na wateja wako ili ishamiri nawe ufanikiwe!
   
 16. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  Umechukua hatua gani ili solve that issue apart frrm osting here? Ungepiga hata picha ya hao machangudoa na mashoga maana wengine hatupo dar!
   
 17. K

  Katambao Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kalagabao hyo!...
   
 18. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  ningetumia kifaa gani kupiga picha ikiwa simu unayo mfukoni tu unakabwa au unataka waniue ka na si kila taarifa ije na picha tujenge utamaduni wa kuaminiana sisi ni magreat thinker
   
 19. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  siku ukija dar katiza mida ya saa nne usiku
   
Loading...