Kama unatumia simu na huwezi ku download hizo Attachment basi soma Lyrics hapa chini:
Intro:
Rock town records
Dear God let me to talk you cause am in jungle God
I need your help
I watch my back
I see myself!!
Verse:
Asante Mungu leo ni siku nyingine, nakuja mbele yako baba nina ombi...
baba abdalah kumbe nawe siasa wazijua? Du? Mie napita tu,atleast leo nimekufumania!! Hahahahahahahaha karibu boko tule nyama ya mbuzi mwaka mpya huu!!!
Nashukuru kwa kunielimisha,ubarikiwe! Basi naomba unipatie ruhusa ni copy hii makala yako,ni print then nikaibandike kwenye notice board maana kuna wengi ambao hatujui life after college huwa kunakuwaje,ili kuandaa mazingira mazuri ya kifikra so inabidi vijana tupewe hili somo!!
1. Fred Fidelis
2. Ian Dialo (Gatro)
3. Mr Flava
4. Gadner G Habash
5. Anorld Kayanda
Utangazaji wa siku hizi ni mwendo wa kubana pua tu, ila hawa hapo juu wanafanya vizuri zaidi, ubunifu wao ni wa kipekee especially huyo namba 1,pia namba 2. Huyu kijana wamwisho ni mtangazaji mzuri sana, ila...
Nina jirani yangu ambaye nyumba zetu zinatazamana tunaishi pamoja maeneo ya Bunju, leo jioni nilimtuma mwanangu akamfungulie ndama ambaye alikua amefungwa nyuma ya uzio wa nyumba yetu. kwa bahati mbaya hakumkuta ndama, ndama huyu alikuwa amekimbilia kwa jirani yangu. Mtoto wangu akaenda...
Kuna computer nimeletewa na rafiki yangu nimfanyie Installation ya Windows,hii Laptop ni Dell D610,sasa nilianza kujaribu kuingiza Windows XP ikagoma,nikaamua kujaribu Ubuntu nayo ikadunda,nikajaribu Mandriva hapa ndo kabisaaaa ikashindwa hata ku-boot,Fedora ikakubali ku-boot lakini katikati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.