Kuzuia baadhi ya mtu kutonipia cm

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Heshima kwanza kwa wanaJF wote. Jamani nawezaje kupata proglam ya kuzuia baadhi ya watu ninaotaka kutonipigia simu. Aina ya simu yangu ni Nokia 5130 express music
 
hiyo prog ipo ila cm sina mazoea nayo sana ila tafuta sehemu yenye neno[black list] hapo ingiza namba zote usizozihitzji zikupigie.
 
sio wote wanadai kuna watu wana usumbufu sana tena wanakera hana cha kukueleza ila anapiga cm kisa kuna plomosheni za ongea kwa nusu sh
 
hiyo prog ipo ila cm sina mazoea nayo sana ila tafuta sehemu yenye neno[black list] hapo ingiza namba zote usizozihitzji zikupigie.

mkuu black list katika nokia HAIPO sana ipo kwenye baadhi ya cm za kichina(sio zote) hiyo huduma labda kama ungekuwa hutaki watu wote wakupate hapo ingewezekana. Ila kwa kuanzia manu>setting>call setting>divet>all voice call ingiza namba ya mtu unaetaka asikupate.kujitoa katika huduma hii piga ##002# ila hapo juu kwenye ALL VOICE CALL sina uhakika sana ngoja tusubiri wajuzi wa mambo haya.
 
Heshima kwanza kwa wanaJF wote. Jamani nawezaje kupata proglam ya kuzuia baadhi ya watu ninaotaka kutonipigia simu. Aina ya simu yangu ni Nokia 5130 express music

Kaka kama unatumia Nokia 5130 XpressMusic basi unahitaji kuInstall program ambayo itafanya kazi ya kublock namba hizo ambazo hutaki zikupate,na kwa idea yangu ndogo hizi free software huwa zinakupa nafasi ya kublock namba 5 tu,ila ukinunua online unaweza ukapewa hata nafasi 10 zaidi. Sasa to cut the wrong story short jaribu kuitafuta hii software kwenye website hii hapa. www.getjar.com
Humu ndani ya hii website uta click kitufe kimeandikwa search,utaandika Black list then getjar watakuletea software zinazoendana na blacklist au blacklist software yenyewe,download na uanze kuitumia ni rahisi unaingiza namba ya mtu tu alafu kitu hichoooooo!!!!
 
Ndo madhara ya ku do na wanafunzi hayo umeona kero ehee?
 
oya wanafunzi walikuwa 12 tu wale wa yesu hawa wa sasa ni wanaofunzwa asanteni ngoja nijaribu kwenye hiyo website
 
Kiburudishoooo!
nani anakusumbua?
kwa kuwa simu yako ni symbian OS download software iitwayo Advanced Call Manager.humo utapata mafeature yote unayotaka na utacustomise vyovyote utakavyo
ukimaliza trial period kama imekufaa ni PM nikupe codes zake
 
Kaka kama unatumia Nokia 5130 XpressMusic basi unahitaji kuInstall program ambayo itafanya kazi ya kublock namba hizo ambazo hutaki zikupate,na kwa idea yangu ndogo hizi free software huwa zinakupa nafasi ya kublock namba 5 tu,ila ukinunua online unaweza ukapewa hata nafasi 10 zaidi. Sasa to cut the wrong story short jaribu kuitafuta hii software kwenye website hii hapa. www.getjar.com
Humu ndani ya hii website uta click kitufe kimeandikwa search,utaandika Black list then getjar watakuletea software zinazoendana na blacklist au blacklist software yenyewe,download na uanze kuitumia ni rahisi unaingiza namba ya mtu tu alafu kitu hichoooooo!!!!

vp kuhusu sisi watu tunatumia nokia 6300 zinaweza kusuport kweli?
 
Nokia hiyo sidhani!! But za kichina sawa inawezekana km vp badilisha simu tumia samsung ya kisasa au sonericson za ukweli
 
vp kuhusu sisi watu tunatumia nokia 6300 zinaweza kusuport kweli?

kuhusu nokia 6300 sina uhakika kama inasupport ila inakubali zaidi kwa hizi symbian phones nyingi including e series,n series hata x series....
 
Back
Top Bottom