Recent content by Emaroli

  1. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba: Budget ya milioni 25

    Naomba msaada wakujua japo maduka machache yanayouza vifaa bei rahis vya jumla hasa mabomba ya maji, umeme na tiles kwa Dar. Npo hatua ya kupauwa.
  2. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Temitope Balogun Joshua, (TB Joshua) afariki Dunia

    Hajafa
  3. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa na Mkewe wafika kuhani Msiba wa Dkt. Magufuli

    Mungu ana maguvu sana.(in mwana FA voice)
  4. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Nini siri ya wamasai kwenye biashara ya sandals?

    Akilazwa mmoja hospital wote wanahamia hapo sijui kwanini?
  5. Emaroli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania My confession: Hornet is Positive

    Hongera wew ni jasiri sana, usikate tamaa ishi maisha yako ya furaha na amani
  6. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Sayansi yashindwa kwanini Afrika haijaathirika na Corona, sawa na nchi nyengine

    Yupo Mungu ambae ni mwana sayansi mkubwa aliye tupigania nasi tukanyamaza kimyaa......
  7. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha sana kiongozi. Poleee
  8. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Kariakoo bidhaa nyingi ni feki kwenye vipodozi ndio usiseme

    [emoji23][emoji23][emoji23]yenyew fake harafu iwe na fake tena
  9. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Sintosahau nilichokishuhudia kwa macho yangu nchini Rwanda wakati wa vita vya kikabila 1994 hadi naingia kaburini

    Asee stori ilikuwa nzuri sana, tumeyafahamu tuliyokuwa hatufahamu, hapa ni shetani alishuka mwenyewe kupigana mana si misukosuko hiyo walopata binaadamu wenzetu. Mungu awalaze pema wote walokufa kifo cha kikatili hivyo. Hakika stori imeumiza sana. Na mwisho hongera baba kwakupigana vita japo...
  10. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Kungwi wa Arusha, Irene Mbowe afiwa na mumewe

    Pole yake sana dada Irene Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Harmonize: A request of a boss is an order

    Nlichogundua ni muheshimiwa Raisi anaumia sana chadema kuwa na wabunge waliotoka kwenye mziki harafu ccm hakuna kwahiyo anataka afanye kila njia kuwaingiza hao vijana wawili bungeni Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Nikiwaza tu jambo, hilo linatokea au nitaliona. Kulikoni?

    Nami naomba unitag kiongozi yananihusu haya
  13. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam: Mhitimu wa kidato cha nne aliyefichwa vifo vya wazazi na ndugu zake apewa taarifa baada ya siku 22

    [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
  14. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Kipanya: My Life My Secret....Why Sikupenda Kusafiri

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  15. Emaroli

    JamiiForums Tanzania Uzi wa kusheherekea maisha ya hayati Dr. Reginald Mengi

    Kwanza kwanini jana hatukuwaona mapacha kwenye misa yenu ya shukurani?
Back
Top Bottom