Recent content by Elias

  1. E

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

    Hiyo noma kwa ccm
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ukuta, mabweni ndio vipaumbele vya UDSM?

    Ujuwe nchi hii kila mmoja na ujanja wake wa kutafuta fedha... huyu jamaa na jopo lake wamefikiria jinsi ya kuboreha biashara zao wakaona hakuna njia nyingine...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Tanesco wamekaa kikao kuandaa waraka wa kuwalipa dowans.

    Wao waendelee c wameamuwa kutuning'iniza wacha wafanye wanachotaka kufanya.
  4. E

    JamiiForums Tanzania Tafsiri halisi ya neno Mswahili

    Kazi kweli kweli, dunia hii sio ile ya miaka ile watoto sasa wamegeuka kuwa wakubwa leo hii mtoto wa chini ya miaka 18 ana uwezo kuliko hata mzee wa zaidi ya miaka 45 na ndio maana akakujibu yeye ni mswahili.
  5. E

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais wanamdhalilisha, au hashauriki?

    sasa kama uwezo wa kufikiri unaishia hapo afanye je? kwa upande wangu naweza sema washauri zero yeye sufuri.....
  6. E

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais wanamdhalilisha, au hashauriki?

    mhh
  7. E

    JamiiForums Tanzania Anna Makinda

    Ukiona vile ujuwe hana nywele kichwani.
  8. E

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Zanzibar linatia aibu au ndivyo inavyopaswa?

    Hapo kazi tu hawana haja ya kuvaa hijabu.
  9. E

    JamiiForums Tanzania MSAADA... Kuandika Kitabu.... "Record.. Book Written by Most Authors"

    Nifanye vipi ili niweze tuma walau chochote kwa mama na watoto kama maisha yenyewe ndiyo haya........
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tanesco yatangaza mgawo wa umeme nchi nzima

    Ahadi ni wimbo wa viongozi Tz.....
  11. E

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Jamani UDOM kunaendeleaje naombeni kujuwa.
  12. E

    JamiiForums Tanzania NBC - POSTA yanusurika kuteketea kwa moto!!

    wajanja wa shafanya vutu vyao.
  13. E

    JamiiForums Tanzania NBC - POSTA yanusurika kuteketea kwa moto!!

    Ukiona vile wajanja washa fanya mambo sasa wanataka kuchoma
  14. E

    JamiiForums Tanzania Profesa Kikula: Niko tayari kujiuzulu

    uamzi safi ila na kiwete pia ajiuzuru.
  15. E

    JamiiForums Tanzania JF imenipa Degree...thanks God

    unasitahili pongezi.....
Back
Top Bottom