Anna Makinda

Easymutant

R I P
Jun 3, 2010
2,564
1,129
Jamani hivi huyu mama hana wigi lingine..? toka nimeanza kumjus yeye ni wigi na staili hii hii tu khaaa!
wadada vp! mshaurini huyu supikaaaaaaaa
newattachment.php
 

Attachments

  • anamakinda.jpg
    anamakinda.jpg
    9 KB · Views: 266
Wigi la nini? Aonyeshe uhalisia wa nywele zake asilia zikitabirisha umri wake halisi ili aheshimike kisawasawa.
 
Ana bana matumizi, au mumewe (kama ameolewa) ndo analipenda sasa anavaa kumpendezesha (maana naamini atakua mbunge na sasa speaker ambae hajawahi tokewa na wabunge wenzake au mwanaume mwingine zaidi ya mumewe). Au labda ndo masharti ya Sheikh Yahya hadi ameunyaka u-speaker........ Maana hata mm simuelewi bora basi hata anyoe nywele tuzione!
 
Hiyo ndo "trade mark" yake. Hawezi kubadilisha. Akibadilisha inabidi aisajili upya, ni mchakato mrefu kidogo, Na si ajabu wewe huyohuyo ukasema afadhali arudie ya zamani maana unaweza kushuhudia mabadiliko hasi au chanya.
Mwache hivyohivyo, muda ukifika ataachana nalo bila hiari.
 
Jamani hivi huyu mama hana wigi lingine..? toka nimeanza kumjus yeye ni wigi na staili hii hii tu khaaa!
wadada vp! mshaurini huyu supikaaaaaaaa
newattachment.php

unataka abadili wig ili iweje?, wewe ni nani wake?, wewe unamawig style ngapi?. Mind ua own bzns. Ebo.
 
hakuna tatizo, nionavyo miye hiyo ni fashion tu anayoipenda, ikibadilika naye atabadilika
 
Jamani hivi huyu mama hana wigi lingine..? toka nimeanza kumjus yeye ni wigi na staili hii hii tu khaaa!
wadada vp! mshaurini huyu supikaaaaaaaa
newattachment.php

siyo wote tunaofuatilia picha za huyu goalkeeper wa grn team, ili kudhibitisha madai yako tuletee picha zake nyingi tuone kama madai yako ni sahihi.
 
hakuna tatizo, nionavyo miye hiyo ni fashion tu anayoipenda, ikibadilika naye atabadilika

nafikiri umri una-matter vile vile, yaani wigi kwa umri wake lazima kuna shida tu au aliruka stage hiyo ya kujiremba kama psychologists wanavyosema!
 
Hiyo ndio asili yake wigi la nini!Kama vp mnunulie alafu akatae ndio uanze unafaka wako.Leteni mambo muhimu sio maisha binafsi
 
Jamani hivi huyu mama hana wigi lingine..? toka nimeanza kumjus yeye ni wigi na staili hii hii tu khaaa!
wadada vp! mshaurini huyu supikaaaaaaaa
newattachment.php

Wanadai ashauriki,wakimnunulia wigi leo kesho anavaa hilo hilo...ni mgumu kama mkuu wa kaya.More less the same!!

 
Anapendeza sana mpaka nikiwaona original comedy huwa namkumbuka kwa wigi lake lililotulia
 
Unaweza tumia dawa ya penzi aina nyingi tu lakini plastic ni ile ile na zote zinakulinda
sasa mama mwache
means yeye anaina amependeza hata avae la kikwenu uchagani bado atabakia hivyo hivyo ila kwa kushauri ukikutana nae muulize sh ngapi ...ukatoe chozi kumbe nalidharau lakini wigi limo....
 
Hizi habari si za great thinker kweli Great Thinker unajadili wig achane utani kama unaona huna cha maana cha kuchangia si unasoma wanacoandika wengine halafu unatoka.:A S embarassed:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom