Tanesco wamekaa kikao kuandaa waraka wa kuwalipa dowans.

Nakubaliana nawe kuwa tunaweza kukataa kulipa na kuvunjilia mbali uhusiano wetu na mahakama ya usuluhishi lakini point yako namba 10 kuwa wachina wanaweza kuziba pengo la wazungu ni ndoto za mchana.

Wachina ni watu wabaya kweli ila wazuri kujipendekeza kwa watawala. Ukitaka kumkaribisha mchina jiandae kuona serikali ya kidikteta kama Mugabe. Hawana habari yoyote na haki za watu ikiwepo malipo kwa wafanyakazi wao. Wao wanachojali ni kuchuma fedha kwa migongo ya kiutawala.

Hapa Tanzania tuna miradi ya madini inayoendeshwa na wazungu kama GGM nk. Kuna watu wanalipwa hadi 10M per month na hata wafanyakazi wa chini wanalipwa ahueni kulinganisha na mashirika ya serikali, serikali yenyewe au taasisi za benki. I always imagine hali ingekuwaje kama mgodi ungekuwa wa Mhindi au Mchina.

Wachina ni wanyanyasaji wakubwa wa haki za watu. China hata Mei mosi hawasherehekei make haki za wafanyakazi kwao ni tatizo kubwa. Wakija hizi nchi zetu ndo balaa tupu. Miradi mikubwa haifai tu kuwapa wawekezaji ili mradi wana pesa bila kuangalia watakavowatendea wafanyakazi ambao kwa sehemu kubwa wanasupport sehemu jamii. Imefika wakati serikali iangalie haki za wafanyakzi kwanza na malipo yatakayokuwepo kwao kutoka kwa mwekezaji.

Ndugu,google historia ya China,ilipotoka na ilipofikia kwa sasa, mahusiano yake kimataifa n.k, kisha rudi tena jamvini, naamini utakua na kitu kipya.....
 
Nimesikia kuwa mkulu anataka hela hizo zilipwe kabla ya bunge kuanza kikao chake Februari ili Dowans isiwe issue tena.

What do you expect Mkuu from a corrupt leader/Government
 
wapendwa wana JF mi nafikiri ni wakati sasa wakufanya mgomo baridi wenye akili,ni wakati wakununua solar,kila mwananchi ajitahidi apate solar as altenative power.Iwapo kila mtanzania anayetumia umeme kwa sasa akiweza kununua sola akafunga nyumbani kwake tukaachana na huu umeme si tutakuwa tumejikomboa sana.maaana hawa Tanesco na serikali yao wanataka kutufanya watumwa.tanesco kukufungia umeme mpaka uwape hela,mara nguzo mara subiri mradi.LET WORK UP WANANCHI ITS TIME NOW( Ni mtazamo wana JF)
 
Kwa nini mchakato wa kulipa inakuwa siri?mara serikali inalipa...mara tanesco.....why?Na huo waraka ni wa nini?Ingekuwa vizuri wangekaa kikao kuandaa waraka wa kukataa kulipa.Shame over them..........
 
Evidence kwanza kuthibitisha kuwa kikao hicho cha Tanesco ni cha kujadili how to pay Dowans. Huenda ni kikao cha kawaida cha ndani juu ya utendaji wao wa kila siku. Haitoshi kusema " Taarifa za uhakika kutoka ndani ya mwanakikao" na sio kutoka ndani ya Kikao??
 
Labda kama wameka kikako wapi wakope pesa za kuwalipa maana TANEsCO iko hoi kifedha.
Kabla ya kikao cha kuwalipa lazima wajue wapi watapa hizo hela.

Amana wapewe hizo hela kwa mgongo wa nyuma na serikali ili serikali ionekanane haiusiki au wakope benki.


Hiyo ni trailer tu movie kamili bado
 
Huu ni wizi wa mchana peupe, kwa nini wasingoje bunge likae?????????? Wanalipa kwa budget ipi, imeidhinishwa na nani????????? Wote watakao husika wapelekwe mahakamani, bila kujali wamepewa amri na nani, watatajana huko mbele ya sheria. Sheria gani inaruhusu kutumia fungu kubwa la fedha bila kupitia bungeni au baraza la mawaziri??????????? CHADEMA nawaomba wainitiate vote of no confidence kwa huyo aliye toa amri, hata kama ni mkuu wa nchi he should be imperched. Si dhani kama CCM wote ni wezi wa aina hii, bila shaka kuna watakao suport hiyo motion. Bandugu twafa tugangamale!!!!!!!!!

Mkubwa, mahakama ipi hapa bongo? huko nako hesabu maumivu tu wala hutapata lolote la maana! hapa labda la maana tuanze za Ki-Tunisia Tunisia labda ndio wataelewa.
 
Evidence kwanza kuthibitisha kuwa kikao hicho cha Tanesco ni cha kujadili how to pay Dowans. Huenda ni kikao cha kawaida cha ndani juu ya utendaji wao wa kila siku. Haitoshi kusema " Taarifa za uhakika kutoka ndani ya mwanakikao" na sio kutoka ndani ya Kikao??
Ni taarifa kutoka ndani ya kikao. Na hatimaye waraka unaoeleza watakavyolipa ( makubaliano ya namna ya kulipa) umekamilika.
 
TANESCO wameshauri wizara ilipe badala ya wao na hatimaye hayo ndiyo makubaliano. Maandalizi ya waraka na ukamilishaji wa waraka wa kulipa umegeuka kuwa ushauri wa wizara kulipa. Na inaonekana wizara imekubali. Je haiwezekani malipo yalishafanyika?
 
Back
Top Bottom