NBC - POSTA yanusurika kuteketea kwa moto!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NBC - POSTA yanusurika kuteketea kwa moto!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Uncle Jei Jei, Jan 14, 2011.

 1. U

  Uncle Jei Jei JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,200
  Likes Received: 941
  Trophy Points: 280
  Katika bank ya NBC makao makuu pale posta kumetokea hitilafu ya umeme ambapo chanzo chake hakijafahamika!shughuli zote zimecmama na wafanyakaz wote wako nje ya jengo kupisha uchunguzi chin ya kikos cha zima moto(security group) kilichowasili mapema! Inasemekana hakuna aliyeumia!
   
 2. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  au tayari waungwana wameshapiga? jaribio lilioshindwa
   
 3. E

  Elias Member

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukiona vile wajanja washa fanya mambo sasa wanataka kuchoma
   
 4. E

  Elias Member

  #4
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wajanja wa shafanya vutu vyao.
   
 5. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #5
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Tusubiri matoke o ya uchunguzi.
   
 6. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #6
  Jan 14, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  bado ikulu.
   
 7. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #7
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  jamaa walionekana wakikimbia na gunia la hela, walipoenda kulifungua wakakuta ni shredded papers
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha ha ha lol!!!!!!!!!
   
 9. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #9
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mnatolewa nje watu ndani wanapiga kazi wakimaliza mnaambiwa hakuna tatizo lolte rudini ndani kumbe tayari watu wameishamaliza kazi haoooo taratibuuuu
   
 10. Mkosoaji

  Mkosoaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 14, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hapakuwa na moto bali fire drill.
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Jan 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  vipi lile deal la note mpya za airport hazijatosha maana wamekwapua nyingi saana wanataka kuongezea na za NBC
   
 12. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #12
  Jan 14, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Taarifa zilizonifikia hivi punde kutoka kwa mshuhudiaji ni kuwa Makao Makuu ya Benki ya NBC yanaungua Moto! Ajali kama hii imekuwa ikijaribu kutokea mara kwa mara bila mafanikio! Je hii ni ajali au ufisadi mwingine?
   
 13. F

  Froida JF-Expert Member

  #13
  Jan 14, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  muulize JK anajua anakopeleka nchi yetu mzee wa makafara kaleta laana ndani ya nchi yetu pendwa
   
 14. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #14
  Jan 14, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Hivi ni wapi posta ya zamani??
   
 15. U

  Unstoppable JF-Expert Member

  #15
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,049
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Sasa kama imekua ikijaribu kutokea mara nyingi were there any preventive measures taken? If not why? MMh!!!
   
 16. Mpogoro

  Mpogoro JF-Expert Member

  #16
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 361
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kazi kweli kweli!Yangu macho...
   
 17. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #17
  Jan 14, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Strong room haiwezi ungua. Labda pesa zilizo counter kwa Tellers
   
 18. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #18
  Jan 14, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,839
  Likes Received: 11,961
  Trophy Points: 280
  Strong room is nothing without transaction documents ukiambiwa zilikuwemo milion 10 utakataa.
   
 19. cabhatica

  cabhatica JF-Expert Member

  #19
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 1,074
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  ni docs zimechomwa kuficha jambo....hii ndo bongo. Wait for the aftermath....
   
 20. quimby_joey

  quimby_joey JF-Expert Member

  #20
  Jan 14, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 361
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Mkuu niko hapa IPS building mkabala na NBC head office hakuna tukio kama hilo muulize vizuri huyo aliyekupa taarifa
   
Loading...