Recent content by Eliah Geofrey Kamwela

  1. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Ukioa tu mambo yanaanza kuvurugika kwenye maisha

    Nimeoa takribani miaka minne hivi ilio pita. Kabla sijaoa sikua na kipato imara, nilikua nimepanga chumba kimoja self, na sikua na uchumi imara. Baada ya kuoa, nilipata kipato imara, tumejenga nyumba kadhaa na maendeleo mengine mengi. Pia furaha na maana ya maisha imeongezeka zaidi. My two...
  2. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Anayetaka tuanze biashara ya kuuza nguo za mtumba vyuoni

    Unatafuta ili mfanye partnership ya mitaji na uzoefu au wa kukusindikiza Karume na vyuoni?
  3. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania DOKEZO NACTVET wanafelisha wanafunzi wa Clinical Officer makusudi, mamlaka husika naomba iliangalie

    Wanawafelisha kivipi ndugu? Madai Yako yamekua ya jumla mno. Kwa kuwa JF wanelinda privacy Yako na kupost kama anonymous, nilitegemea uwe na ushahidi tangible namna walivyo felisha ili mamlaka husika zichukue hatua. Sasa umeandika hisia bila facts.
  4. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania TBS: Mchele, mafuta ya kupikia ya alizeti na maharage kutoka Marekani, ni Salama kwa Walaji

    Mambo ya aibu haya. Kupewa msaada wa maharage toka Marekani ni matusi kwetu kama nchi. Walio idhinisha huu msaada wawajibike au kuwajibishwa, period.
  5. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Madai ya UDOM kuchelewesha vitambulisho vya Wanafunzi, chuo chasema chanzo ni uzembe wa Wanafunzi

    Wanafunzi Mara nyingi hukwepa kuwa responsible na kuishia kulalamika
  6. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Usifanye hii Kazi, Hata Kama Maisha yakiwa magumu sana

    Thread Bora Sana hii
  7. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Nifanye Biashara gani nina mtaji wa Mil. 2, nipo mkoa wa Lindi

    Hakuna biashara inayo lipa au isiolipa. Hakikisha una muda au mechanism ya kusimamia biashara yako na anzia unapo weza kwa kinacho wezekana huku ukijifunza kadri unavyo endelea
  8. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania "Pepo" la umasikini

    Hahaha duuh
  9. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania "Pepo" la umasikini

    Hahaha
  10. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania "Pepo" la umasikini

    PEPO LA UMASKINI Ukiwa huna pesa unakua na mawazo mengi ya maendeleo na unatamani Mungu apitishe walau ka laki mikononi mwako. Mungu akileta laki, unagundua kua dagaa sio mboga, ni vichoma Koo na kisamvu kina aina Fulani ya sumu inayo ua seli za mwili, hivyo una resolve kula hotelini...
  11. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Samahani naombeni ushauri kati ya Bach in accounting and finance au Bach in metrology and standardization

    Hakuna kozi nzuri au mbaya ndugu. Inategemea wewe unataka Nini. Fuata plan yako, usifuate kelele za jamii
  12. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Baada ya kuangushwa Ubunge afunga kisima na kubomoa tenki la maji kuwakomoa wananchi ambao hawajamchagua

    Hii akili ya huyo mbunge ni ya ajabu sana!!! Dunia ingeenda hivyo, tusingekuta kitu
  13. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Postini motto ya shule uliyotoka tujue shule yako!

    O level: Determination is our Motto... Nyayooooo..... Alevel: Struggle for Success is our motto
  14. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi aliyebadilishwa namba ya Mtihani afaulu kwa alama A

    Kafaulu Zaid ya huyu. Ana B moja tu
  15. Eliah Geofrey Kamwela

    JamiiForums Tanzania Mpangaji anahesabika ni mvamizi mara tu kodi yake inapoisha

    Kwenye hayo maelezo, imesemwa mwenye nyumba (lessor) anaweza kusitisha mkataba kwa notisi. Sasa mpangaji ambae Kodi yake Imeisha kimsingi mkataba wake umefikia mwisho, hivyo hakuna haja ya mwenye nyumba kutoa notisi ili aondoke.
Back
Top Bottom