Zimbabwe: Baada ya kuangushwa Ubunge afunga kisima na kubomoa tenki la maji kuwakomoa wananchi ambao hawajamchagua

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,054
49,743
Jamaa baada ya kupigwa chini kwenye uchaguzi ameamua kuwaadhibu Wananchi kwa kufunga kisima chake na kung'oa tanki la maji aliyokuwa anawa supply watu.

Ikumbukwe huu ulikuwa mradi binafsi wa huyu mbunge kwa Wananchi wake, sasa baada ya kupigwa chini ndio hivyo waende wakachote kwa waliomchagua. 😆😆😆😆😆

My Take
Afrika raha sana, CHADEMA wekeni pesa mezani porojo za sera hazileti ugali.

Yaani mimi nijichafue ukaneemeke na watoto wako halafu mimi unipe sera? Sina ujinga kama huo.

====

kisima.jpg
kisima1.jpg
kisima2.jpg
kisima3.jpg

Zimbabwean Lawmaker, Chinhoyi Chidzomba locks his borehole to punish his constituents, after he lost a Parliamentary election.

He also dismantled a water storage drum meant for the borehole.

View: https://twitter.com/HarryGodfirst/status/1696050691607790011?t=3RkhZypbG28P0ubKUpPJvg&s=19

Africa Fact Zone
 
View attachment 2731055View attachment 2731056View attachment 2731057View attachment 2731058

kampigie mamako kura muuza bandar huku ukishangilia na makuwadi wenzio kwa mabwana zenu dpworld, CHADEMA haihitaji kura za makuwadi ya warabu koko magaidi yakujilipua na msio na akili, CHADEMA itapigiwa na watu wenye akili timamu akiwemo kishimba yule wa kahama aliyehudhuria mkutano wa mwamba lissu jana pale isaka-jimbo la msalala.
 
Yani Africa. Vitu kama maji halmashuri au jimbo inatakiwa kusambaza na wananchi wanalipia kupitia bills siyo fadhila kutoka kwa mtu binafsi ndo maana niggaz hatuendelei. Sisi ni weledi kupanuamikundu kwa kunyakunya tukishashiba michakula ya utapia mlo.

Cc HIMARS
 
Niggaz ni race ya ajabu sana. Sasa hilo tenki kwenye pickup halienei halafu kwa ubishi litabebwa tu hivyo hivyo. Bila kujali road safety. Sijui tutaendelea lini kama ndio hii tabia ya kina HIMARS kunyakunya porini na vichakani na kujitawadha na vigunzi na msasa kusababisha michubuko kwenye rindaz na kutembea miondoko ya ajabu ajabu.
kisima (1).jpg
 
Jamaa baada ya kupigwa chini kwenye uchaguzi ameamua kuwaadhibu Wananchi kwa kufunga kisima chake na kung'oa tanki la maji aliyokuwa anawa supply watu.

Ikumbukwe huu ulikuwa mradi binafsi wa huyu mbunge kwa Wananchi wake, sasa baada ya kupigwa chini ndio hivyo waende wakachote kwa waliomchagua. 😆😆😆😆😆

My Take
Afrika raha sana, CHADEMA wekeni pesa mezani porojo za sera hazileti ugali.

Yaani mimi nijichafue ukaneemeke na watoto wako halafu mimi unipe sera? Sina ujinga kama huo.

====

View attachment 2731055View attachment 2731056View attachment 2731057View attachment 2731058

Zimbabwean Lawmaker, Chinhoyi Chidzomba locks his borehole to punish his constituents, after he lost a Parliamentary election.

He also dismantled a water storage drum meant for the borehole.

View: https://twitter.com/HarryGodfirst/status/1696050691607790011?t=3RkhZypbG28P0ubKUpPJvg&s=19

Africa Fact Zone

Hata Iringa kuna mbunge alienda kuhamisha furniture na mapazia ofisini baada ya kuanguka ubunge
 
Jamaa baada ya kupigwa chini kwenye uchaguzi ameamua kuwaadhibu Wananchi kwa kufunga kisima chake na kung'oa tanki la maji aliyokuwa anawa supply watu.

Ikumbukwe huu ulikuwa mradi binafsi wa huyu mbunge kwa Wananchi wake, sasa baada ya kupigwa chini ndio hivyo waende wakachote kwa waliomchagua. 😆😆😆😆😆

My Take
Afrika raha sana, CHADEMA wekeni pesa mezani porojo za sera hazileti ugali.

Yaani mimi nijichafue ukaneemeke na watoto wako halafu mimi unipe sera? Sina ujinga kama huo.

====

View attachment 2731055View attachment 2731056View attachment 2731057View attachment 2731058

Zimbabwean Lawmaker, Chinhoyi Chidzomba locks his borehole to punish his constituents, after he lost a Parliamentary election.

He also dismantled a water storage drum meant for the borehole.

View: https://twitter.com/HarryGodfirst/status/1696050691607790011?t=3RkhZypbG28P0ubKUpPJvg&s=19

Africa Fact Zone

Watakula jeuri yao. Wanam'bania kura, kumbe wanakunywa maji yake.
 
Huyo anayesema Chadema wahonge watu ili ndio wapewe kura anaweza akatuambia hao ccm wenyewe walituhonga kiasi gani cha fedha na je bado tunazila mpaka leo.??

Kama ndio mawazo hayo ya watanzania basi kumbe ngoja tuendelee kukimbiza mwenge labda iko siku wenye fikra kama hizo wakishakufa wote nchi itaanza kupiga hatua kimaendeleo mdogo mdogo.
 
Back
Top Bottom