Recent content by elechit

  1. E

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kuna anayeweza ku withdraw wasafibet jaman,mimi siku ya nne hii withdraw inakataa wasafibet
  2. E

    Bwawa la The Three Gorges la China limepunguza kasi ya mzunguko wa dunia

    Mwenyew najiuliza sana hilo swali,but pengine kwa sababu ya hizo material zilikua scattered,then walivyozileta sehemu moja ikawa na effect kwny mzunguko huo wanaosemea wao
  3. E

    Vyombo vya Usalama vichunguze tuhuma za Uhalifu wa Mo Dewji na Genge lake kudukua mawasiliano ya watu/wafanyakazi wake

    Nouma kweli bro...tena kashukuru tu ni keupe,kangekua cheusi kale!!!!!?!... ebitoke pisi kali[emoji14][emoji14]
  4. E

    Vyombo vya Usalama vichunguze tuhuma za Uhalifu wa Mo Dewji na Genge lake kudukua mawasiliano ya watu/wafanyakazi wake

    Babara mtu mpole kimuonekano ila ndani fisi wa hatari...ni hatari kwa afya yako...kuna video moja nilimuona anampamba sana Mo,now ndo napata majibu
  5. E

    Mkalimani Wa Tanzania Ajaribu Kudanya Umati Na Tafsiri Mbovu

    Mi sidhani kama Ramaphosa alikua na nia mbaya,alichokifanya ni kumsifia raisi kwa uzalendo wa kuipenda nchi yake na kuwapenda watanzania thus why alikua hasafiri...ila huyu mkalimani alishindwa kuipata point ya Ramaphosa...
  6. E

    Suluhisho la majitaka kutoka manyumbani na viwandani

    Ushirombo, Hii inafanyeje kazi (its mechanism).??coz unasema inatumia eneo dogo na inadumu zaidi ya miaka 40.
  7. E

    Kuhusu Corona: Bunge lilipuuza hoja ya Mch. Msigwa

    Kwa hiyo sampuli kutoka Arusha kwenda Dar we unaona ni sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  8. E

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Milner mzuri mkuu... Mi hendo tu ndo simwelewagi
  9. E

    Series (Special thread)

    Hivi breaking bad utamu wake unaanzia wapi mkuu... Niko season ya pili ila nashindwa
  10. E

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Natafuta Korean drama moja inaitwa " My Girl"... Naombeni msaada plz
  11. E

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nadhani hii ni akili kubwa sana kuwahi kutokea kwenye hii game
  12. E

    Biashara ya mazao na matunda inalipa na inawatoa wengi kimaisha, Vijana tuache kuilaumu serikali

    well said mkuu, point ya mleta mada iko wazi kabisa,tatizo letu sisi vijana wa leo tunadiscuss minor issues na kuacha kuangalia yale ya msingi
Back
Top Bottom