Suluhisho la majitaka kutoka manyumbani na viwandani

Ushirombo

JF-Expert Member
Jan 22, 2013
3,557
2,692
Teknolojia mpya

USIHANGAIKE KUCHIMBA MASHIMO KWA AJILI YA CHOO

Kwa watu ambao wamejenga maeneo ambayo ya maji mengi (high water table level-HWTL) kila ukichimba mashimo kwa ajili ya majitaka yanajaa maji na hivyo umeshindwa kuyajengea au huna eneo la kutosha kuchimba hayo mashimo au unataka nyumba na eneo lionekane nadhifu bila ya kuonekana chambers za maji taka na matank yake.

Suluhisho ni Bio Digester Decentralized System-BDS inafanya kazi zaidi ya septic tank, ni ndogo (ina mita 1 upana na mita 1 kina), haijai, ukiweka kwenye eneo lako haionekani maana unaweza kuichimbia chini na ardhi ikaonekana nadhifu, haina service mpaka miaka 50,maji yanayotoka yamekidhi viwango vya baraza la mazingira,rahisi kuiweka inatumia siku 3 tu. Tupo Dar, Dodoma na Mwanza lakini tunafanya kazi Tanzania na nje ya Tanzania.

System zipo za ukubwa tofauti kulingana na idadi ya watu, system ndogo kabisa ni kwa ajili yafamilia inaweza kukidhi watu 18.
 
tutafute 0784934147 popote tutafika
IMG20191129163033.jpeg
 
Habari zenu,

Nimekua nikipost hii habari kuanzia mwaka 2015, niwakumbushe tena ndugu zangu kuhusu habari ya mfumo wa majitaka wa nyumbani, usihangaike kuchimba mashimo (i.e septic tank na soak pit) tena, kwa wale ambao hawajawahi kuona tangazo lenu, tuna mbadala ambao unafanya kazi vyema zaidi, sifa zake kwanza ni ndogo, inachukua sehemu ndogo ardhini, haijai, haina harufu na kikubwa zaidi inadumu miaka zaidi ya 40.

Ona picha hapo, karibuni tuwahudumia tunapatikana Ubungo external, 0784934147, 0754079678 www.msallamo.co.tz
Tuna huduma zingine za solid waste management, hazardous waste management, industrial chemical waste management n.k

Kwa matumizi ya nyumbani system tunauza 2.5mil. Unaweza kuunga nyumba mbili, tunakupa muda wa maangalizi 5years.

-Karibuni-

IMG-20200225-WA0077.jpeg
IMG-20200225-WA0078.jpeg
IMG20200222150558.jpeg
IMG20200217174555.jpeg
IMG-20200127-WA0025.jpeg
IMG20191213165111.jpeg
IMG_20181123_130129.jpeg
IMG20200118095802.jpeg
IMG_20180531_145647.jpeg
IMG_20190726_111703.jpeg
IMG_20191017_083627.jpeg
IMG20191129163033.jpeg
 
Ungeweka mchanganuo wa gharama mkuu.
Gharama kubwa ipo kwenye ku import some material lakin mengine ni local available.Huwa tunatoa BOQ kama unaweza kuwa na material at site, tuna cut kwenye boq kukupunguzia cost
 
Back
Top Bottom