Recent content by elchapo6

  1. elchapo6

    Meek mill

    Dreams and nightmare
  2. elchapo6

    Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    The Flash, The Blacklist, You
  3. elchapo6

    Mambo 10 ya kufanya kabla hujafika umri wa miaka 28

    Kama tumevuka 28, huu ushauri hautuhusu au??
  4. elchapo6

    Kale kanjia nilikosafisha sasa ndiyo barabara

    SA ni SingidA au SumbawangA au SongeA
  5. elchapo6

    Msaada wa ink cassette ya hii canon printer

    Nenda kwa dealers wa Canon, ofisi zao zipo Posta karibu na hospitali ya hindu mandali unaweza ukapata, hata kama hawana huwa wanaagiza kwa order ukilipa down payment
  6. elchapo6

    Iphone inakataa kuingiza finger print

    Reset tena alafu ujaribu tena, tatizo lisiporekebika, jipange uhamie IPhone X ili uwe unatumia Face ID badala ya Touch ID
  7. elchapo6

    Mikasa ndani ya ndoa; Kakuta KY na butt plug kwenye begi la mkewe.

    Embu support uzi na picha ili wengine tujue hiyo butt plug ipoje ili tuweze kuzungumza lugha moja
  8. elchapo6

    Vodacom tutendeeni haki wateja wenu. Mnapandishaje Cost 25% kimya kimya bila kutujulisha? Huu sio wizi wa mchana Kweupe? TCRA mnalijua hili?

    Mimi nimehamia Halotel baada ya kuona Voda wanazingua, Hvyo bora kuhamia Halotel...buku unapata 1Gb kwa wiki....pia try option nyingine Kama TTCL
  9. elchapo6

    Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

    Mkuu nakushauri ujaribu pia hizi Nuts za almonds, nasikia zinasaidia pia, ila tatizo lake ukila unakuwa na hamu na kufanya tendo, jaribu kutumia hata kwa mwezi mmoja sio mbaya (ila bila kufanya tendo ili sperms zijae), huko Kariakoo wanauza 15,000 nusu kilo, sijui huko mwanza...all the best
  10. elchapo6

    Mhadhiri UDOM ashikiliwa na Vyombo vya Dola kwa tuhuma ya kutaka rushwa ya ngono kutoka kwa mwanafunzi wa kike

    Naipongeza TAKUKURU kwa kuchukua hatua ya awali ya kumshikilia mtuhumiwa huyo, ambapo jambo hilo litawafanya baadhi ya wahadhiri katika vyuo mbalimbali nchini wenye tabia kama hizo kujitafakari na kuacha tabia hiyo (huku wakijua arobaini zao zipo karibu)
  11. elchapo6

    Biashara

    Natafuta nyanya ambazo naweza kununua kutoka shambani.
  12. elchapo6

    Hali ya Komredi Kinana

    Sasa unataka awe na uso wa furaha kwenye msiba??
  13. elchapo6

    Kampala city Gallery

    Hapa Ni kabalagala nn
Back
Top Bottom