Recent content by Ekamenya

  1. Ekamenya

    Mbowe Lowassa Sumaye tangulia Tuandamane!!

    Asipokufa yy mwanzilishi wa vurugu afe nani badala yake.?
  2. Ekamenya

    Rais Magufuli: Mimi sijaribiwi, wasije kunijaribu. Atakayeleta vurugu atashughulikiwa bila huruma!

    Hawana shukrani hawana mazuri hata ufanyeje.. Hakuna Rais watamkubali labda Mbowe ndo nafsi zao zitaridhika.
  3. Ekamenya

    Ukaguzi wa vyeti sasa watinga TRA. Namba zinazidi kusomeka...

    Nadhani Kama serikali imeamua kuchunguza vyeti vya watumishi ni wakati muafaka kuandaa Database ya watumishi woooote wakaanza na watumishi wa serikali kisha sekta binafsi ikiwezekana tuwe na database ya watanzania wote including vyeti vyote na shule mtu alizosomea, vitambulisho na namba zake...
  4. Ekamenya

    Mpaka sasa sijapata kazi, mimi ni Food technologist

    JF bana utasilibwaaa utasemwaaaa hatimae utasaidiwa tu hata mawazo utapewa, safi sana hivyo ndivyo tulivyo watz.
  5. Ekamenya

    Ufugaji wa kuku wa kisasa na wakienyeji, ng'ombe wamaziwa na nguruwe

    Wenzako walipost full article ya ufugaji hapa JF mi nadhani ungefanya kama wao ili iwe manufaa ya wote
  6. Ekamenya

    Picha:Hapa kwetu Ukonga hali ya joto ndiyo hii mchana huu!!!!

    Lushoto bana hadi tunavaa pullover
  7. Ekamenya

    Host a website freely

    If u wish to have a professional shared hosting quality in a free hosting package come and host with: Web hosting, domain names, VPS And experience the best service you can get ABSOLUTELY FREE. Register now and get it all free: i) 1,500 MB of disk space ii) 100 GB of data transfer iii) PHP...
  8. Ekamenya

    Naweza kumtafsiri Zitto Kabwe hivi...

    Ukawa mnashida sana.. Zitto mlimtimua na mlishampa majina yote mabaya leo mnataka ashiriki upuuzi wenu wakijinga na utoto. Ni afadhali am-support JPM kwa uwajibikaji wenyetija tunaouona kuliko kumsupport Mbowe na genge lake.
  9. Ekamenya

    Machine ya kunyonyolea kuku

    Tunaomba na picha yake upost.
  10. Ekamenya

    Hivi mafuriko kwenye kampeni huwa sio kiashiria cha ushindi?

    Baada ya kutangazwa takwimu za matokeo ya Jiji la Tanga nilikiwa puzzled sn, ile nyomi yote mpaka watu kuzimia kumbe FEKI bana, kura zoote kwa Tingatinga, usoni kama watu kumbe moyoni unachekwa. Dah
  11. Ekamenya

    Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Dah.! Naona kama ni mapema sana kwangu kuanza kurukaruka hapa nilipo mana naona kama ndoto vile. Zitto bungeni.?? Ni furaha iliyoje.!! Ngoja nisiseme mengi kesho ntapata majibu sahihi..!
  12. Ekamenya

    ACT - Wazalendo Wamnyooshea kidole Zitto!

    Mi nilidhani nikweli nilipoaminishwa kuwa ACT ni mpini wa CCM kuimaliza nguvu CDM kumbe zilikuwa propaganda za Bavicha duh! Mi naamini kbs Act iko hapo ilipofika kwa influence ya zzk kwa 97% na nisimple logic kwamba majority ya wanachama na washabiki wa Act wako huko kwa imani waliyonayo kwa zzk...
  13. Ekamenya

    Zitto Kabwe na Moses Machali wafunika Kigoma Mjini

    ZZK ni level nyingine.. Wanafiki wataongea kwa unafiki wao yet ACT z keeping growing and moving day by day. Shikamoo Zitto
  14. Ekamenya

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Dah! Umenifurahisha sana kaka. Tatizo watu kibao wakishajiona wanafahamika kidogo tu tena na kakikundi ka watu wachache anaanza kujiamini na kuona kila kitu rahisi maadam nafahika. Kwa hili la Ben aisee What goes around comes around finally u've got what u deserve..!!
Back
Top Bottom