Ufugaji wa kuku wa kisasa na wakienyeji, ng'ombe wamaziwa na nguruwe

lwigwano

Senior Member
May 14, 2015
130
67
km ww ni mjasiliamali unaejihusisha na ufugaji kuku, ng'ombe wa maziwa na/au ngurue na unapata wakati mgumu saana kupata ushaur wakitaalamu juu ya mfumo mzima wa ufugaji unaoufanya na hata matibabu bora ya mifugo ulionao tuwasiliane kupitia namba 0753160392

pia kma ndo unaitaji kuanza ujasiliamali kupitia nyanda ya ufugaji na unaitaji ushaur wa kitaalamu pia usisite kuwasiliana nasi kupitia namba tajwa hapo juu
 
Wenzako walipost full article ya ufugaji hapa JF mi nadhani ungefanya kama wao ili iwe manufaa ya wote


ufagaji ni mpana na unachangamoto nyingi saana na ni yetu nikukushaur juu ya changamoto unazopitia zinazokukwamisha ili uweze kuzimudu na kunufaika pia hivyo ni huduma hio nimoja tu yakumfanya mkulima kua huru pale anapopata tatizo kulielezea kwa wataalam kuweza kupatiwa ufumbuzi sizan kama ni mbaya
 
nguruwe ukimtunza vizur toka kuzaliwa ni miez mingap anaweza uzwa na vyakula vyake ni vipi kwa mfn

umri mzur ni miez 8 lakin hakikisha awe anakilo ambazo zitakulizisha wewe kumpeleka sokon maana katika ufugaji tunalenga faida zaidi hivyo ndan ya miezi hio unashauliwa kumlisha vizur vyakula vyenye mchanganyo mzur
hakikisha kila ngurue anakula si chin ya kilo 02 ya chakula kilichochanganywa vizur kwasiku na maji yakutosh.
chakula cha nguruwe ni pumba na mashudu pia mabaki ya chakula cha binadamu na majani mabichi (sio kila majani hapa kunaaina ya majani)

kumbuka pia sio vizur kumlisha saana kwa kiwango cha kupitiliza kutasababisha mnyama kua na mafuta mengi na kuharibu ubora wa nyama
 
asante dada yangu...nimeanza kufuga nguruwe nawafugie kijijin nadhan huko ndyo watakua zaidi hali ya hewa ni nzuri na upatkaji wa chakula chake syo ghalama sana kama mjin
 
nashukuru kwa mchango wako maana tunaamin kufamishana nikuelimishana nibora zaid ktk kukabiliana na changamoto ya umaskin

Asante kwa kushukuru lakini ningeshauri hapa utushirikishe nadhari yote then tutapoamua kuunza ufugaji tukutafute kwa mafunzo kivitendo
 
Drinkerz za nguruwe
 

Attachments

  • 1454036125297.jpg
    1454036125297.jpg
    39.4 KB · Views: 207
Naomba msaada nimepewa taarifa kutoka site kuku zaidi ya watano na vifaranga kama sitini vimefariki dunia.......inasemekana wanatoa kinyesi cheusi. Sijui ni ugonjwa gani na nn kifanyike??? Msaada plz
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
 
Hello..... Karibuni Sana Katika group linalohusu ufugaji wa nguruwe

Karibu Sana wewe mtaalamu wa mifugo, mfugaji, mnunuzi, pamoja na Wale wenye kiu ya kujifunza zaidi kuhusu ufugaji huu wenye tija na kipato cha uhakika.....

Click link ifuatayo kujiunga......

Zingatia kujitambulisha pindi tu uingiapo katika group hili
ZINGATIA KUJITAMBULISHA PINDI TU UINGIAPO KATIKA GROUP HILI... JINA, MKOA, SHUGHULI

TSA- PIG FARMING
Mbona haitaki kujiunga?
 
Back
Top Bottom