Tabia 6 za matajiri duniani, ukizifuata utakuwa tajiri 100%

Jajojo

Senior Member
Sep 1, 2015
155
95
Matajiri wengi wenye utajiri unaoendelea na kudumu vizazi hata vizazi wana sifa hizi zifuatavyo:

1- Wanafanya kazi kwa bidii zote - sio wavivu.

2- Hujali wakati zaidi ya fedha - sio wazembe

3- Wanadhamiria kufanya kitu 100% (focused) - hawaruki huku na kule.

4- Wanafikiria kwa undani sana kabla ya kutenda jambo. - Hawaogopi kufanya vitu.

5- Ni watoaji wa fedha- Sio mabahili wa fedha.

6- Hujishusha ili kujifunza mambo mapya - husikiliza watu wengine.

JIULIZE KAMA UNA TABIA HIZO. Ukijifunza tabia hizo utakuwa tajiri 100%

ianyelwisye@gmail.com
 
Hii point ya tano sikubaliani nayo,wengi ni bahili na ni wanyonyaji hawalipi wafanyakazi wao ujira unaostahili pia wengi ni wakwepaji wa kodi ya serikali!
 
Utajiri ni subjective kutegemea na mazingira. Kuna maeneo mtu mwenye baiskeli anaonekana tajiri. Sehemu zingine mwenye gari. Sehemu zingine mwenye chopa au private jet na list inaendelea. Ila kwa mimi tajiri ni mtu anaye-impact maisha ya watu wengine kwa mali au fedha au muda alionao kwa kuwaboreshea maisha. Mfano ni Gates, Dangote... Na sio kufisidi na kufilisi nchi kwa kukwepa kodi na kupata tenda kwa rushwa kubwa zinazoumiza wananchi wa chini. Mfano...
 
Matajiri wengi wenye utajiri unaoendelea na kudumu vizazi hata vizazi wana sifa hizi zifuatavyo:

1- Wanafanya kazi kwa bidii zote - sio wavivu.

2- Hujali wakati zaidi ya fedha - sio wazembe

3- Wanadhamiria kufanya kitu 100% (focused) - hawaruki huku na kule.

4- Wanafikiria kwa undani sana kabla ya kutenda jambo. - Hawaogopi kufanya vitu.

5- Ni watoaji wa fedha- Sio mabahili wa fedha.

6- Hujishusha ili kujifunza mambo mapya - husikiliza watu wengine.

JIULIZE KAMA UNA TABIA HIZO. Ukijifunza tabia hizo utakuwa tajiri 100%

ianyelwisye@gmail.com
we nitajili au unatupulizia upepo?
 
Ina maana hapa kwetu hatuna Matajiri..? Kwa maana hakuna mwenye sifa angalau 3 Kati ya hizo 6 ulizozitaja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom