Mbowe Lowassa Sumaye tangulia Tuandamane!!

Hata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?

Just be a little more thoughtful before you hit the keys on your computer or mobile device. This is not an apple-to-apple comparison! Nyerere was a commander-in-chief with the prerogative powers to give legally-binding orders to his servicemen. Mbowe is a volunteers' leader; he can only be more effective by leading by example. Otherwise, the potential volunteers may simply ignore his call to action without triggering any disciplinary action!
 
Asipokufa yy mwanzilishi wa vurugu afe nani badala yake.?
 
Hata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?
kwani nyerere alikuwa mwanajeshi? hujui kuwa uwanja wa mapambano hadi kanali anaenda vitani inshort all soldiers
 
Wanataka Watoto wa wanyonge waumizwe na Dola hoja ibadilile iwe wanapinga mauaji
Uzuri ni mmoja kuwa Magufuli anatoka kwny Kivuli walichokitumia 2005-2015 hivyo wanajuana!
 
Hata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?
Unafananisha Vita vya Kagera na Vurugu za hawa Mawakili wa Mafisadi na wakwepa kodi?
 
We unaishi dunia gani, ushawahi ona kamanda anatangulia mbele vitani yeye yuko nyuma kupanga strategy. Hata ktk kundi la nyuki wa mwisho kufa ni malkia baada ya wapiganaji wote kuangamia. Mbowe atakuwa anafanya makosa ya kimkakati kuongoza maandamano yayosubiriwa na askari wenye hasira na virungu mikononi.

Kwa hiyo nani akafe kwa niaba yake?
Pathetic
 
Hata wakati tunakwenda kupigana vitani Kagera 1979 sikupata kumuona Mwl Nyerere akija kushika bunduki hata siku moja. Hivyo hoja yenu ni ya kipuuzi, mnataka kamanda mkuu awe pale mbele ili mumuuwe?
Kwahiyo Tanzania inapigana na Nani??
 
Just be a little more thoughtful before you hit the keys on your computer or mobile device. This is not an apple-to-apple comparison! Nyerere was a commander-in-chief with the prerogative powers to give legally-binding orders to his servicemen. Mbowe is a volunteers' leader; he can only be more effective by leading by example. Otherwise, the potential volunteers may simply ignore his call to action without triggering any disciplinary action!
Exactly!!
Hata Mimi nimemuuliza sasa hivi hii nchi yetu inapigana na Nani??
 
Wanataka Watoto wa wanyonge waumizwe na Dola hoja ibadilile iwe wanapinga mauaji
Uzuri ni mmoja kuwa Magufuli anatoka kwny Kivuli walichokitumia 2005-2015 hivyo wanajuana!
Walisema kikwete thaifu sasa hivi Magufuli dictator!!
 
Watu mnaongea tu humu ila ukweli mtaani hakuna raha hata nyie wenye kazi zenu hamna raha mmekalia unafiki tu na wengi wenu ni kula kulala ila kimoyo moyo hampendezwi na hali ilivyo......Ok toka tumeambiwa tufanye kazi...Kwani hapo mwanzo tulikuwa kula kulala.....
Ni matamko mangapi yameshasemwa yamesababisha vijana wengi kufunga na kupoteza vibarua vyao....
 
Niandamane kwasababu ipi hasa katika uongozi huu wa awamu Bora zaidi....Labda kama kuna maandamano ya kumuunga mkono Rais katika katika jitihada zake za dhati kabisa za kurudisha nidhamu ya nchi kwenye mstari.......Nitakuwa mstari wa mbele kabsaaaaaaaaaaaa..... Ila kwa haya mengine hakuna maslahi yoyote ya Taifa...... Kuna nchi zinatamani kupata kiongozi kama huyu makini......
 
Back
Top Bottom