nilipita juzi pale msamv stend nikashangaaa kuona hata bango la mgombea wa pale afande sele picha yake imefichwa ila bango lote limejaa picha ya zitto.....nikashangaa sana...jamaa kawashika akili
Wangetumia fursa vizuri kwa kuweka mabango ya mgombea urais mikoa mbalimbali badala ya kuweka mabango yenye picha ya Mwami Zitto wakati hagombei urais. Ni very simple logic lakini ingewasaidia sana, Zitto anagombea Kigoma, mabango yenye picha yake yanafanya nini Dar na Morogoro ambako hakuna bango la Anna mgombea uraisi. Ukata wa kujitakia
mkuu nasema kile ambacho kilichopo, matusi ya nn sasa??
nilipita juzi pale msamv stend nikashangaaa kuona hata bango la mgombea wa pale afande sele picha yake imefichwa ila bango lote limejaa picha ya zitto.....nikashangaa sana...jamaa kawashika akili
Mimi ni UKAWA lkn sipendi kuacha kujadili yetu harafu tunamgeukia Zitto mtu ambaye hata hatushambulii.
Mimi ni UKAWA lkn sipendi kuacha kujadili yetu harafu tunamgeukia Zitto mtu ambaye hata hatushambulii.
Dhambi ya usaliti inawatafuna. Kumbe Arakati Zote na Kusimamisha Wabunge Nchi Nzima Lengo ni Ruzuku?
hahahahaaaa. Zito Kweli Ni Kiboko Kumbe Anazipigia Mahesabu Pesa za Ruzuku?
Mwisho wa Hiki Chama utakuwa Mbaya Sana. Maana ni Chama Cha Wapiga Dilitu. itakua Kila Mtu Akipata Fursa Ya Kupiga Mchongo, Ana Kwarua Pesa. Hii itakua ni Zaidi ya Kikoba.
Wajumbe wa kamati kuu ya ACT wazalendo wamnyooshea kidole zitto kwa kile wanacholalamika kuwa anatumia nafasi yake ya uongozi wa chama vibaya.
Moja ya mjumbe huyo (jina tunalihifadhi) amesema zitto ni mbinafsi, hashirikishi chama katika utendaji, akija na ajenda zake hataki zijadiliwe anazipitisha kama zilivyo.
Anasema ndani ya chama wengi tulipenda tusisimamishe mgombea urais kutokana na bajet yetu kuwa ndogo, tukapendekeza tuwekeze nguvu kwenye wabunge na madiwani sehem ambazo tunanguvu, lkn zitto aling'aka sana na kukataa katukatu kwa kisingizio cha kupata ruzuku katika chama kama tutamsimamisha mgombea urais.
Mpaka sasa hali ya kifedha ndani ya chama inaogopesha, fedha alizozihaidi zitto zitatoka hatuzioni, na mpaka sasa hatujajua hatma ya kampen za mgombea urais, alisema mjumbe huyo.
nilipita juzi pale msamv stend nikashangaaa kuona hata bango la mgombea wa pale afande sele picha yake imefichwa ila bango lote limejaa picha ya zitto.....nikashangaa sana...jamaa kawashika akili