Recent content by egentle

  1. egentle

    JamiiForums Tanzania Aprili 1, 2024: Gridi ya Taifa yapata Hitilafu, TANESCO waomba radhi

    Tengeneza tatizo, ionekane ulazima wa kubinafsisha kitu. Bandari, DART, now Tanesco [emoji16] - Alisikika Mlevi mmoja akisema.
  2. egentle

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

    Wanamuitaga Senior Man [emoji1787][emoji1787], hapo lazima ugomvi uwake
  3. egentle

    JamiiForums Tanzania Wakikwambia wako tayari kukupenda na umaskini wako kataa kabisa huo mtego, watakusumbua mbeleni

    Yes. Umeongea kitu cha Ndani kabisa. Mengine ni ya juuu juuu.
  4. egentle

    JamiiForums Tanzania Nilisababisha mama mkwe kupewa taraka, kosa Moja tu

    Hawa ndio wale wanaume wanaitwa Simp, pig man. Ukipata vimali kidogo tu, watakuua maisha yako si marefu. Mwanaume mwenzio kakuona boya, baba mkwe anakushngaaa aina gan ya mwanaume ww, mkeo yeye mwenyewe anajua jinsi ulivyo zuzu.
  5. egentle

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa connection ya field, nasoma BSc in Chemistry

    Acha kupoteza muda kuandika Emails au kutuma ma barua..sehemu nyingi hawanaga muda wa ku respond na maombi hayo. Nenda mwenyewe, na barua yako. Tembelea sehemu kadhaa, pambana utapata.
  6. egentle

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ulie wahi kua na mpenzi, au mke zaidi ya mmoja pita hapa mnipe busara zenu.

    Mkeo naye alikuwa kama huyo , so kwa huyo mpya usitegemee makubwa sanaa. Title ikibadilika kutoka mpenzi, girlfriend, sex mate to Wife mengi yanabadilika pia. Hiyo sms aliyokutumia ni mbinu na mtego tu, upapalike uingie ktk kingi ujilipue na ahadi kemkem. Huyo mwanamke alijua fika kuwa haupo...
  7. egentle

    JamiiForums Tanzania Nawachukia sana hawa matapeli wanaouza dawa mbele ya misikiti

    Uzi wako umeusuka kitaalam Sana, lengo sio ku adress kutapeliwa. Lengo lilikuwa kutaka kuonyesh connection yao , ushirikina na huko wanako swali watu. But umeuwek fresh ili upate hata mchango wao. Ngoja tuone
  8. egentle

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Bongo Fleva zenye stori za kweli

    Jamaa alifanya nini huyu.
  9. egentle

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

    Umesema vyema kabisa. Hiyoo team yote haitotaka kuonekana hawatoshi, lazima watatak kuthibitsha zaid, udhalimu wao. Maana kwa System ya sasa, kila mtu hapo anamjua mtue, unaweza kwenda kufatilia rufaa, unaye muandikia rufaa ana ushikaji na hao , unakuta email zako au barua zako zina somwa na...
  10. egentle

    JamiiForums Tanzania Nahamishaje sexual energy kwenda kuwa mafanikio au business delevopment energy?

    Chukua Kitabu cha Think and Grow rich cha Napoleon Hill, chapter 10. Isome, usipo elewa au ukitaka manufaa zaidi, karibu inbox broo, nikupe ka semina ka Nusu saa kwa njia simu. Wengine tuna nguvu ktk maneno kuliko maandishi
  11. egentle

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Zaidi ya Wanafunzi 10,000 hawajaripoti Kidato cha Kwanza hadi sasa

    Magonjwa, vifo,ulemavu,umbali, misinformation
  12. egentle

    JamiiForums Tanzania Lipi ni chaguo (Option) sahihi kuhusu ujenzi wa nyumba ya Ghorofa moja

    Dadavua kidgo mkuuu. Tupe maarifa.
  13. egentle

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Uhamisho: Rais Samia amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali

    Mimi nadhani inatakiwa kuwa na mkeka kikatiba kwamba boya yeyote akizingua ktk teuzi, akitumia nguvu ya umma vibaya, afilisiwe then 10years in prison, maximum security maana hao ni public enemy.. Na hizi teuzi watu waombe kwa CV
  14. egentle

    JamiiForums Tanzania Uteuzi na Uhamisho: Rais Samia amefanya uteuzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali

    Kanuni ni moja, unasifia hata akijamba. Unatetea hoja yeyote. Leo akisema umeme ni haufai ,unasifia. Kesho yake akisema umeme ni muhimu, unasifia tu.
Back
Top Bottom