Nahamishaje sexual energy kwenda kuwa mafanikio au business delevopment energy?

boss,hiyo ni akili yako ulivyoiseti ila ushauri kama hujaoa fanya haraka kuoa japo siyo solution ya muda,tatizo lako ni akili pili soma vitabu mbalimbali huenda upata idea nzuri za kukuondoshea tatzo na mwisho sali sana,mazoezi na fanya uwekezaji wa akili na rasilimali.
 
Anza hivi!!!
Ukiwaza ngono,mfano kuna msichana umeshampanga mkalondomoane guest,tengeneza bajet ya tukio zima mf nauli yenu wote2, mkifika labda mtapata vibia viwili vitatu, hela ya kulipia gest nk.
Ukishapata jumla kuu jiulize hiyo hela si unaweza kununua tofali kadhaa? Au kama ni mfanyabiashara let say wa nyanya jiulize hiyo hela unayoenda kuiteketeza huko ni sawa na tenga ngapi za nyanya? Ukipata jibu nenda kanunue nyanya
Hilo lenyewe lishoga amwone msichana gani sasa? You are not serious. Amekuwa yupo horny all the time. Hushangai?
 
Sina namna nzuri ya kuelezea lakini kwa kingereza ni SEXUAL TRANSMUTATION kitu kama hicho.

Kifupi mimi ni mtu niko horny 24/7 aisee!

Yaani ni motoooo!! Sijui ni tatizo au ni normal lakini nachojua ndio nilivo!

Wenda hata ningekuaga tajiri sema ndio hivo hiyo nguvu/Energy /Power ipo upande mwingine.

Nishawaihi kusikia watu wakisema mfano ukiweza ku redirect au kuibadili hii nguvu kwenda kwene biashara au masomo au vitu vya kujiendeleeza basi utafanikiwa sana Binafsi niliamini. Ngoja nikwambie kwanni.

Shule mi sikua mtu wa kusoma kifupi sikua naweza kusoma saa moja mmfululizo likaisha. Nikisoma nusu saa bas nishachoka na kupoteza interest
(Aiseeehapa nilikua nawashangaa wanaosoma kuanzia saa 2usiku na kurudi saa8 usiku nilikua najiuliza wanasoma kinini sijui ila nachokumbuka wengine tumetoka sawa na GpA ya upper low)

Wapo wataosema hyo ni Attention deficit mental illness lakini siwalaumu nawaelewa pia.

Upande wa pili wakati nikishindwa kusoma zaidi ya saa moja Lakini nilikua naweza kuangalia na kupekua porn kuanzia saa3 usiku had saa 9 au saa kumi alfarjiri CAN YOU IMAGINE HIYO ENERGY? masaa mangap hayo babuu !!
Somaaaa hyooooo!!!

Kuna energy kubwa sana huko kwene hiyo sector ninayo.

Wakati Nilishindwa kupaka rangi na kuweka tiles kwene kajumba kangu ila nilipanda ndege kwenda dar kwa ajili ya uzinzi ambao tulikua tunachat social media. budget 1.3M wakat budget ya kukarabat kajumba kangu iilikua kama 450k tu.

Hii investment hainilipi wanangu nawambia.

Asilimia kubwa la bundle natumia kuangalia hayo mambo yanayonifanya nakua horny! ulimwengu wa xxx lets say budget ya bundle kwa mwezi ni kama 80k.Hapo lakini kiwanja changu hati ni 150k sijakikatia. Mambo ni mengi sana.

Ndipo nikaja kukutana na HIZI IDEA ZA KUHAMISHA ENERGY KUTOKA SECTOR MOJA YA MWILI HAD NYINGINE.

Vitu vilivyonimotivate mfano
Erick shigongo Aliwai sema
“Right wanaume tungeweka nguvu tunazozitupia kwene mapenzi na ngono kwene biashara au kutafuta mafanikio wengi tungekua matajiri”

Sasa watalamu wa hivi vitu naombeni msaada. Uwe professional please maana kuna wale wakurahisisha.

View attachment 2936196
Chukua Kitabu cha Think and Grow rich cha Napoleon Hill, chapter 10. Isome, usipo elewa au ukitaka manufaa zaidi, karibu inbox broo, nikupe ka semina ka Nusu saa kwa njia simu.

Wengine tuna nguvu ktk maneno kuliko maandishi
 
Sina namna nzuri ya kuelezea lakini kwa kingereza ni SEXUAL TRANSMUTATION kitu kama hicho.

Kifupi mimi ni mtu niko horny 24/7 aisee!

Yaani ni motoooo!! Sijui ni tatizo au ni normal lakini nachojua ndio nilivo!

Wenda hata ningekuaga tajiri sema ndio hivo hiyo nguvu/Energy /Power ipo upande mwingine.

Nishawaihi kusikia watu wakisema mfano ukiweza ku redirect au kuibadili hii nguvu kwenda kwene biashara au masomo au vitu vya kujiendeleeza basi utafanikiwa sana Binafsi niliamini. Ngoja nikwambie kwanni.

Shule mi sikua mtu wa kusoma kifupi sikua naweza kusoma saa moja mmfululizo likaisha. Nikisoma nusu saa bas nishachoka na kupoteza interest
(Aiseee😂😂😂😂hapa nilikua nawashangaa wanaosoma kuanzia saa 2usiku na kurudi saa8 usiku nilikua najiuliza wanasoma kinini sijui ila nachokumbuka wengine tumetoka sawa na GpA ya upper low😂😂😂)

Wapo wataosema hyo ni Attention deficit mental illness lakini siwalaumu nawaelewa pia.

Upande wa pili wakati nikishindwa kusoma zaidi ya saa moja Lakini nilikua naweza kuangalia na kupekua porn kuanzia saa3 usiku had saa 9 au saa kumi alfarjiri 😀CAN YOU IMAGINE HIYO ENERGY? masaa mangap hayo babuu !!
Somaaaa hyooooo!!!

Kuna energy kubwa sana huko kwene hiyo sector ninayo.

Wakati Nilishindwa kupaka rangi na kuweka tiles kwene kajumba kangu ila nilipanda ndege kwenda dar kwa ajili ya uzinzi ambao tulikua tunachat social media. budget 1.3M wakat budget ya kukarabat kajumba kangu iilikua kama 450k tu.

Hii investment hainilipi wanangu nawambia.

Asilimia kubwa la bundle natumia kuangalia hayo mambo yanayonifanya nakua horny! ulimwengu wa xxx lets say budget ya bundle kwa mwezi ni kama 80k.Hapo lakini kiwanja changu hati ni 150k sijakikatia. Mambo ni mengi sana.

Ndipo nikaja kukutana na HIZI IDEA ZA KUHAMISHA ENERGY KUTOKA SECTOR MOJA YA MWILI HAD NYINGINE.

Vitu vilivyonimotivate mfano
Erick shigongo Aliwai sema
“Right wanaume tungeweka nguvu tunazozitupia kwene mapenzi na ngono kwene biashara au kutafuta mafanikio wengi tungekua matajiri”

Sasa watalamu wa hivi vitu naombeni msaada. Uwe professional please maana kuna wale wakurahisisha.

View attachment 2936196
Haupo peke yako bw wewe, mpo wengi!

Kuna kisa niliwahi kukisoma, tena mwalimu kabisa huko Uingereza, yupo jela huko USA kwq sasa.

Alifuata penzi la mtandaoni kumbe alikuwa akiwasiliana na matapeli, kufika uwanja wa ndege, akapokelewa na minjemba ya mtandao wa dawa za kulevya yaliyokuwa yamehuck mawasiliano yake tangia mwanzo wa mawasiliano.

Alipoteremka tu uwanjani, yameshammaki, yakamuuliza utambulisho na kumpatia furushi yakidai yameachiwa yamkabidhi ili aende ampelekee mpenzi wake huyo.

Kumbe misheni yalingeuza 'punda' ili ayavushie nje ya uwanja huo mzigo.

Alipotoka airbport akaishia mikononi mwa vyombo vya dola na asiweze kukutana na mpenzi wake huyo, sii unajua tena mkamatwa na ngozi ndiye...?

Cha kufanya wewe, lazima uwe na mpangilio wa kufanya mambo yako kwa kadiri.

Katika maisha usifanye jambo likakufanya teja, baadaye lazima likuletee tu madhara.

Hayo mambo yanarekebishika tu kwa maamuzi thabiti toka moyoni mwako wewe mwenyewe bila ya ushauri toka kwa mtu.

Midhali umeshagundua kuwa njia ya maisha unayoifuata ni batili, basi ni rahisi kujirekebisha na kufuata misingi sahihi ya maisha.
 
Kitendo cha kuanza kugundua tu kuwa mwenendo wako sio mzuri ni mwanzo mzuri. Ila pili jaribu kumshirikisha rafiki yako wa karibu(rafiki anayekupa makavu live), ambae anaweza kuwa anakushauri unapotaka kufanya maamuzi yasiyo na faida.
 
Back
Top Bottom