Tofali 2800 zinaweza kutosha au kutotosha kujenga nyumba ya vyumba 3 inategemea
1. aina ya nyumba
2.Uwanja jinsi ulivyo (una slop au hauna)
3.Muonekano wa paa hapa kuna
*Pitched roof (paa la kuonekana kama zilivyo
nyingi)
*Hidden roof (paa lisilooneka)
*Lean to roof (paa la upande mmoja)
N:B...
Kwa ushauri wa ujenzi bora wa nyumba,ramani bora nyumba pamoja na ujenzi wa nyumba tuone #PIARA TANZANIA tutakusaidia kufikia lengo lako.
Unaweza kutuuliza chochote kile kuhusu ujenzi.
Baadhi za kazi zetu.
Nahitaji sandals za kimasai kwa bei ya jumla.
Muuzaji tafadhari onyesha bei ya kila bidhaa kama zinapishana bei,pia onyesha kama kuna punguzo special kwa mnunuzi wa bidhaa nyingi.
Ni vizuri pia kama ungeambatanisha na picha za bidhaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.