Safi sana!!Klose (Germany) hua anafanya maksudi kunadi kampuni za Boxer kama alivokua anafanya David Bekham (England)
![]()
Huyu jamaa mwafrika sijampata jina ila kwa staili hii![]()
![]()
![]()
![]()
Huyu Neymar (Brazil) na wenzake kama Ronaldo (Portugal) Rodrigez (Columbia) Nani (Portugal) na wengine wengine huvaa milegezo kabla ya shughuli kuanza. Mziki unapopulizwa kipenga unawaona kabisa wanarudisha bukta sehem husika
![]()
