Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

JF ni University College ya aina yake, ahsante kwa hizi data,
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
  1. Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
  2. Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
  3. Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
  4. Mbao zote TZS4,000,000/=
  5. Bati 60 @ 15,000=900,000/=
  6. Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
  7. Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
  8. Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
 
Kama una demu au mke anapenda makuu hakikisha humshirikishi kwenye Ujenzi la sivyo hiyo 20m itakuwa 2m tu. Samahani nimetoka nje ya mada lakini umenikumbusha machungu.
 
Fanya 37ml kuna ukuta wenyewe tu unakula kama 4-6ml, parking, na uwanja mzuri, chember nzuri
 
Huo mchanganuo wa Sanjo unaacha gap za Kutosha za baadhi ya items, mfano,Mchanga,Kokoto,Nondo,na hata Labour.Pia Sijui kama bei ya Tofali imeshuka hadi 700/;maana hapo nyuma bei ilikuwa 1000/- hadi site.Gharama nyingi Ni Usafiri wa haya material yote hadi site.Yaani kwa navyowajua mafundi,
 
Jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo Dar kwa milioni 20? Niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...

Asante

Unaweza tena nzuri n ya kisasa.watafte hawa jamaa.
b721e9cb218ef305e47cc91479fa0b7c.jpg
 
Inawezekana ila lazima uwe makini na mafundi utaowapa kazi kama unaweza kupata fundi wa kawaida anayejua kazi yake vizuri hiyo hela inatosha kabisa achana na wale wanaojiita mainjinia watakupigia gharama kubwa na wanaokuja kuijenga hiyo nyumba ni hawa hawa mafundi vibarua. wewe tafuta fundi mmoja mwaminifu ufanye nae hiyo kazi kwa yeye kukuletea mafundi ambao utakua unawalipa wewe mwenyewe jioni na huyo alowaleta awe kama msimamizi wao ingawa na yeye anafanya kazi ila sio kama wao coz atakua anawakagua pia. kwa kufanya hivi utatumia gharama ndogo sana mfano mafundi watano kila mmoja na kibarua wake wakifanya kazi kwa siku saba mfululizo utakua umetoa kiasi cha 1050000 na ndani ya siku 7 naamini nyumba itakua imemalizika tayari itabaki kuezeka n.k

20,000*5*7=700,000 na vibarua 5*10,000*7=350,000 jumla 1,050,000
cement (Huku kwetu Moshi) ni 12,500*50 Jumla 625,000
Mchanga trip 4@120,000 Jumla 480,000
Mawe 3@90,000 Jumla 270,000
Kokoto 1 kwa 300,000
Tofali za kuchoma 300* 3000Jumla 900,000
Nondo 28@13000 364,000

Utaona hadi hapa Umetumia chini ya 4,000,000
utakua umebaki na 15Mil ila kumbuka gharama nilizokupa ni za eneo nililopo mimi bei za material zinatofautina sana. Pia usisahau nimeweka kwa juu juu ukizingatia sina utaalamu sana kwenye hii sekta uzoefu mdogo nilionao nimepata mwanga kidogo, finishing bado so ni mwendo wa kuweka vibarua tu
 
Milioni 20 ni vihela vidogo sana.
Duuuh? Unasema mil. 20 vihela vidogo? Wewe utakuwa mpiga dili au muuza ....? hapa cha kujua ni ukubwa wa nyumba anayotaka kujenga na aina ya mafundi atakaotumia. kwa wapiganaji mil. 20 unajenga sana nyumba nyumba ya wastani na kuhamia. finishing utafanya mdogo mdogo ukiwa kwako
 
Inawezekana ila lazima uwe makini na mafundi utaowapa kazi kama unaweza kupata fundi wa kawaida anayejua kazi yake vizuri hiyo hela inatosha kabisa achana na wale wanaojiita mainjinia watakupigia gharama kubwa na wanaokuja kuijenga hiyo nyumba ni hawa hawa mafundi vibarua. wewe tafuta fundi mmoja mwaminifu ufanye nae hiyo kazi kwa yeye kukuletea mafundi ambao utakua unawalipa wewe mwenyewe jioni na huyo alowaleta awe kama msimamizi wao ingawa na yeye anafanya kazi ila sio kama wao coz atakua anawakagua pia. kwa kufanya hivi utatumia gharama ndogo sana mfano mafundi watano kila mmoja na kibarua wake wakifanya kazi kwa siku saba mfululizo utakua umetoa kiasi cha 1050000 na ndani ya siku 7 naamini nyumba itakua imemalizika tayari itabaki kuezeka n.k

20,000*5*7=700,000 na vibarua 5*10,000*7=350,000 jumla 1,050,000
cement (Huku kwetu Moshi) ni 12,500*50 Jumla 625,000
Mchanga trip 4@120,000 Jumla 480,000
Mawe 3@90,000 Jumla 270,000
Kokoto 1 kwa 300,000
Tofali za kuchoma 300* 3000Jumla 900,000
Nondo 28@13000 364,000

Utaona hadi hapa Umetumia chini ya 4,000,000
utakua umebaki na 15Mil ila kumbuka gharama nilizokupa ni za eneo nililopo mimi bei za material zinatofautina sana. Pia usisahau nimeweka kwa juu juu ukizingatia sina utaalamu sana kwenye hii sekta uzoefu mdogo nilionao nimepata mwanga kidogo, finishing bado so ni mwendo wa kuweka vibarua tu
Mkuu Trip tatu za Mawe zinatosha msingi? Ni Lorry la Volume ngapi?
 
Usitumie mafundi wa kawaida,nakushauri utafute mataalam wa ujenzi watakusaidia kupata nyumba bora kabisa.
 
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza): [LIST=1 said:
[*]Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
[*]Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
[*]Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
[*]Mbao zote TZS4,000,000/=
[*]Bati 60 @ 15,000=900,000/=
[*]Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
[*]Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
[*]Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
[/LIST]
Nimeona gharama umeandaa Vizuri ila
Gharama za Umeme umeweka bei mara mbili; Vifaa vya umeme na ufundi ni kama 2.5m tena vifaa genuine
Na gharama zingine hapo ukisimamia hukosi 2m
 
Tawi la MOSHI na DODOMA

Soon Litafunguliwa

Chini ya Kampuni ya ONE2ONE FOCUS

ONE 2 ONE FOCUS.CO LTD ni Kampuni ya Kizalendo ,iliyosajiliwa na BRELA kwa Hati Namba ya Usajili 127281 na TIN Namba :
131-202-040.

Kampuni inajishughulisha na:
1.Ujenzi wa Majengo Mbalimbali.
2.Upimaji wa Viwanja
3.Utengenezaji wa Ramani.
4.Uuzaji wa Viwanja.

Kwa Ujenzi wa Nyumba Tunakujengea na Kufanya Finishing Kuanzia Hatua ya Awali Mpaka Mwisho wa Ujenzi.

Pia Katika Ujenzi Huo Tunakuwekea:-
1.Uwiano Mzuri wa Cements
2.Nondo za mm 12 ,mm 16 na mm 24 za Chuma Kulingana na Aina ya Ujenzi.
3.Mbao imara i.e Mikaratus,Saiprus
4.Mabati imara Kutoka Nje ya Nchi
5.Tiles Daraja la Kwanza.
6.Tunaweka Gypsum
7.Tunaweka Fremu,Milango
8.Milango ya Mbele na Nyuma Kuwekewa Grill.
9.Tunaweka Fitting za Makabati,Mifumo ya Maji,Makabati ya Jioni.
10.Wiring ya Umeme.

Tupigie kwa:-
0715-908698(Whatsapp/Call)
0759-538688(Call)

OMARI RAJABU
MARKETING OFFICER
ONE2ONE FOCUS
MAKUMBUSHO COMPLEX
DAR-ES-SALAAM

Pia Tuna Ofisi Jiji la Mwanza
BUZURUGA COMPLEX
MWANZA

Mkoa wa Arusha
NAMVUA PLAZA
Floor ya 4

Kwa Majengo Bora,Imara kwa Gharama Nafuu Usisite Kutupigia

0715-908698(Call/Whatsapp)
0759-538688(Call Only)
0629-955992(Halotel Call)

NB:Tunajenga Mkoa wowote
 
Wadau wa Jf kuna fursa katika kampuni inayoitwa Bitco International ...
kampuni hii inahusika na investment ya coin iitwayo Bitcoin ambapo utainvest hela yako na utapata return ya 3% kila siku kwa muda wa siku 50.Bitcoin ni coin maarufu sana kwenye mataifa ya ulaya na America kwa muda mrefu sasa na pia imeanza kutumika katika matumizi ya kawaida kama fedha nyingine huko kwa wenzetu.
hii fursa ni real na na watu wanaendesha maisha yao kupitia bitco international.Kwa hapa kwetu Tanzania fursa hii bado ngeni ,ila wachache walioichangamkia wananufaika ikiwamo na mimi.

Uthubutu ni kitu muhimu sana katika mafanikio ya mwanadamu,nawashauri msikubali hii fursa iwapite .

kwa yeyote ambaye atahitaji maelezo ya kina na kujiunga anitafute kwa namba hii 0712 799747 au whatsapp kwa namba hiyo hiyo ,mimi nipo Dar.
 
Milioni 20 ni vihela vidogo sana.
Wewe? Unasema millioni 20 hela ndogo? Wenyenyumba nyingi mjini unadhani wamejenga wakiwa na kiasi gani? Waulize! Wengine wameanza kujenga kwa malaki! Chakumshauri ni kuwa na ramani ya hiyo nyumba na kuwa makini na fundi na kununua material. Itakapoishia ndo hapo. Lakini kwa watoto/watu wa mjini hiyo hela unajenga na kuhamia, finishing utamalizia ukiwa kwako
 
Hela inatosha sana, sana tu...Hii hela inatosha mpaka unahamia..
Fuatilia huyu MC RAS PAROKO hapo chini

Inawezekana ila lazima uwe makini na mafundi utaowapa kazi kama unaweza kupata fundi wa kawaida anayejua kazi yake vizuri hiyo hela inatosha kabisa achana na wale wanaojiita mainjinia watakupigia gharama kubwa na wanaokuja kuijenga hiyo nyumba ni hawa hawa mafundi vibarua. wewe tafuta fundi mmoja mwaminifu ufanye nae hiyo kazi kwa yeye kukuletea mafundi ambao utakua unawalipa wewe mwenyewe jioni na huyo alowaleta awe kama msimamizi wao ingawa na yeye anafanya kazi ila sio kama wao coz atakua anawakagua pia. kwa kufanya hivi utatumia gharama ndogo sana mfano mafundi watano kila mmoja na kibarua wake wakifanya kazi kwa siku saba mfululizo utakua umetoa kiasi cha 1050000 na ndani ya siku 7 naamini nyumba itakua imemalizika tayari itabaki kuezeka n.k

20,000*5*7=700,000 na vibarua 5*10,000*7=350,000 jumla 1,050,000
cement (Huku kwetu Moshi) ni 12,500*50 Jumla 625,000
Mchanga trip 4@120,000 Jumla 480,000
Mawe 3@90,000 Jumla 270,000
Kokoto 1 kwa 300,000
Tofali za kuchoma 300* 3000Jumla 900,000
Nondo 28@13000 364,000

Utaona hadi hapa Umetumia chini ya 4,000,000
utakua umebaki na 15Mil ila kumbuka gharama nilizokupa ni za eneo nililopo mimi bei za material zinatofautina sana. Pia usisahau nimeweka kwa juu juu ukizingatia sina utaalamu sana kwenye hii sekta uzoefu mdogo nilionao nimepata mwanga kidogo, finishing bado so ni mwendo wa kuweka vibarua tu
 
Wadau wa Jf kuna fursa katika kampuni inayoitwa Bitco International ...
kampuni hii inahusika na investment ya coin iitwayo Bitcoin ambapo utainvest hela yako na utapata return ya 3% kila siku kwa muda wa siku 50.Bitcoin ni coin maarufu sana kwenye mataifa ya ulaya na America kwa muda mrefu sasa na pia imeanza kutumika katika matumizi ya kawaida kama fedha nyingine huko kwa wenzetu.
hii fursa ni real na na watu wanaendesha maisha yao kupitia bitco international.Kwa hapa kwetu Tanzania fursa hii bado ngeni ,ila wachache walioichangamkia wananufaika ikiwamo na mimi.

Uthubutu ni kitu muhimu sana katika mafanikio ya mwanadamu,nawashauri msikubali hii fursa iwapite .

kwa yeyote ambaye atahitaji maelezo ya kina na kujiunga anitafute kwa namba hii 0712 799747 au whatsapp kwa namba hiyo hiyo ,mimi nipo Dar.
Mwenzako anauliza ushauri wa ujenzi wewe waleta mambo yako ya Bitcoin?! Kwanini usianzishe uzi wako wa kuuza hizo Bitcoins kama wenzako wa Forex?! Ukisikia utapeli ndio huu...
 
Back
Top Bottom