Kiongozi kwanza kabisa utekelezaji wa mradi wa ujenzi hufuata, BOQ ambayo ndiyo inayo onyesha details zote za kazi zinazotakiwa kufanywa kwenye ujenzi wa hiyo barabara, pia malipo ya kazi ya ujenzi hufanywa baada ya kuwasilisha certificate ya kiasi cha kazi kilichofanyika hivyo kama kazi...
Karibu sana katika mji mkuu, kiongozi. Ukimaliza majukumu yako sio mbaya ukazurula zurula tu hapa mjini na maeneo yake ya Pembezoni, unaweza mchukua boda akakuzungusha kisha akakurejesha eneo lako ukilofikia kwa namna flan utapata picha ya mji ulivyo siku nyigine ukija hutakuwa mgeni sana.
Mkuu, umemaliza kabisa Subaru Impreza ni miongoni mwa gari bora kabisa pia mafuta matumizi yake ni ya kawaida sana, nina wasiwasi kama mtoa hoja either amewahi miliki hii gari ama amewahi itumia.
Hii gari ina option pia ya kuinua in case barabara yake sio rafiki na mafundi wapi lakini pia Dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.