huku kuachana bado nina walakini, yani mnakaa kikao mnakubaliana kabisa kama mmoja anasafiri mwingine kamsindikiza stand ,kirahisi tu ,basi sawa mambo ni mengi nyakati hizi
duuh jamaa sahivi wazo la kuwahi mbele za haki limekwisha muisha naona mmemsaidia kumtoa kwenye reli, seleman kapige gambe maisha yaendelee kama ulivyoahidiwa, mtoto wako mpe kipaumbele kabla hujajiwazia hata wewe.
Hao wazee waache kutudanganya kila siku, wanashindwa nini kuisaidia Taifa stars tuchukue hata afcon ikibidi World cup kama nguvu hizo wanazo na zinafanya kazi,kazi kuwaaminisha watu kuhusu imani zao mbovu na za kijinga kuhusu ushirikina, Ila sishangai sana maana kuna tafiti moja kama sijasahau...
Usichokijua unaweza andika chochote kwa utashi wako lakini ni ukweli jeshi letu lilifanya makosa na ni vizuri wakaomba msamaha japo kwao ni vigumu
Marehemu namjua nje ndani na kwenye tukio yeye alikua na harakati zake akakatisha pale bank sasa polisi wakahisi wanavyohisi wao na wakimuangalia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.