DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 2,385
- 1,566
Sawa mkuu.huo ni mtazamo wako
Diego atabakia kuwa Maradona
Na leo atabakia kuwa Messi.
Hawana mpinzani
Juan roman requelme
Beckham kwa kuwa alikuwa wa England that's why kaonekana, juninho wa Lyon huyo jamaa nilikuwa namfaid kwenye champions league, wenzie walikuwa wanampa assist kwa kutafuta faulo kwenye maeneo yake!Hawa ni Wachezaji Hatari sana waliyowahi kutokea Duniani kwa Upigaji wa Mipira Iliyokufa(dead ball) Haijalishi walikua wanapiga mipira kutokea Kona gani Ila kati ya Mipira 5 lazima minne Itie Kambani.
JUHIHNO PERNAMBUCANO...Huyu alikua kijana wa kibrazili akicheza pale ufaransa klabu ya Olympique Lyonnais alikua hatari sana kwa dead ball.
SHUNKUKE NAKAMURA...Huyu alikua kijana wa Kijapani akikipiga pale Celtic ya Uskochi Makipa walikua wanajua shughuli yake naye alikua hatari sana kwa dead ball.
Hao ndo Mafundi Wangu wataalamu wa kupiga dead ball kuwashuhudia katika soka wakifuatiwa na akina David Berckam,Ronalddihno na hawa akina Messi kwa kizazi cha sasa.View attachment 489460View attachment 489461
Huyu jamaa alikuwa level nyingine kabisa mkuu nilikuwa namkubali sana muargentina yuleNilikuwa namfatilia mno huyu fundi.ni very dangerous
Huyu jamaa alikuwa level nyingine kabisa mkuu nilikuwa namkubali sana muargentina yule
Ongeeni yote ila kama hamjui basi mjue. Kwenye dead balls Mungu wa soka Diego Armando Maradona hakuwahi kuwa na mpinzani. Hao mnaowataja wooote ni kizazi cha juzi tuuu