Wale waliosoma advanced physics, subtopics gani zilikusumbua sana?

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
5,130
9,660
Wakuu wale waliosoma physics advance taja subtopics 2 za MECHANICS ambazo zilikuwa zinakusumbua sana .
 
maswal ya error na projectile nilikuwa naishia kuyakosa tu ihali ni simple kuzisoma
 
Hahahaha tumia intermediate ndio utaona subtopic unayoona nyepesi ndio ngumu.
Shikamoo intermediate enzi hizo.
 
Back
Top Bottom