Picha: Hatimae nimejinasua kwenye penzi la kitumwa

Picha: Hatimae nimejinasua kwenye penzi la kitumwa

Hongera kwa uamuzi mgumu japo najua inauma kuachana na mtu ambaye umekuwa naye kwa muda mrefu. Muda mwingine tunavumilia mambo ambayo hayavumiliki kwenye mahusiano. Usipuzie red flags kwenye mahusiano, sometimes inabidi ucut loss ili usiendele kupata hasara zaidi.

Ushauri
Next time ukitaka kuachana na mpenzi wako andaa exit plan, ikiwezekana utafute replacement kabisa kabla ya kuachana. Hii inasaidia kupunguza upweke na matokeo yake kurudi kwa dear ex.

# Tunafiwa na watu tunaowapenda tunasahau na maisha yanaendelea sembuse kuamuacha mtu na mb*nye yake
 
Mlichat kwenye group la familia ama la marafiki?
 
Mapenzi yanawatesa watu, hadi wanatakiwa kuonewa huruma.
Achana na mapenzi, fanya mambo mengine, Poleee sana.
 
huku kuachana bado nina walakini, yani mnakaa kikao mnakubaliana kabisa kama mmoja anasafiri mwingine kamsindikiza stand ,kirahisi tu ,basi sawa mambo ni mengi nyakati hizi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom