Recent content by duet

  1. duet

    JamiiForums Tanzania TBA wapewa wakabidhiwe ujenzi wa daraja LA ubungo..

    Unahitaji watu washangilie na kusifia huku wanaishi kwenye majengo yanayo hatarisha maisha yao?
  2. duet

    JamiiForums Tanzania Msaada: Premio old model imekuwa ikiwasha taa ya engine

    Wakuu gari yangu ni Nissan Note, kuna wakati ikizimwa haiwezi kuwaka mpaka nipate msaada wa ku boost kwa betri nyingine. Lakini ikiachwa mpaka ipoe kabisa mfano ni kuiacha usiku kucha asubuhi inawaka bila shida. Betri ni nzima na inaonesha alama ya uzima (kijani). Nini laweza kuwa tatizo?
  3. duet

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    Nakubaliana na wewe.
  4. duet

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Msanii Emmanuel Elibariki 'Nay wa Mitego', akamatwa na Polisi

    kamtukana nani?
  5. duet

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais tuonee huruma vijana wako, umesimamisha ajira lakini umri hausimami tunazeekea mtaani

    Fungua tuition... Anzisha madarasa ya jioni kwa watu wazima n.k
  6. duet

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Leseni ya ulevi daraja A

    Hiyo mamlaka ndio imeonesha jinsia, umri n.k. Kweli hapa kazi tu.
  7. duet

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Leseni ya ulevi daraja A

    Hiyo leseni inatolewa kwa watu gani? Namaanisha umri, jinsia, utaifa na mengineyo.
  8. duet

    JamiiForums Tanzania Tujadili Uhalali wa Tozo Daraja la Kigamboni

    Hutaki kulipia daraja panda kivuko au piga mbizi.
  9. duet

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia unaponunua tairi za gari

    Uzi muhimu mno.
  10. duet

    JamiiForums Tanzania Mjue Nyangumi (Whale): Sifa, uwezo na maisha yake

    Mkuu mimi si mtaalamu wa nyangumi lakini kwa uelewa wangu kwa viumbe wengine kama binaadamu kunakuwa na kikomo cha ukuaji (kuongezeka kwa mwili) unapofikia umri wa miaka kadhaa. Na haimaanishi unapofika kikomo cha ukuaji basi mtu hufa, la hasha unaendelea kuishi kwa miaka kadhaa zaidi bila...
  11. duet

    JamiiForums Tanzania Ugali unaopikwa kwa Unga wa mahindi (dona) hatari kwa afya ya binadamu

    We mtu umenichekesha sana. Kwa hiyo unaamini sumu ikipikwa haileti tena madhara. Kama vile vimelea vya magonjwa?
  12. duet

    JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili za Prof. Lipumba kuwa Waziri wa Magufuli

    Ni rahisi tu, anachukua kadi ya CCM, anateuliwa kuwa mbunge kisha waziri. Ndani ya siku moja hayo yote yanafanyika.
  13. duet

    JamiiForums Tanzania Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    Suluhisho ni kuweka dawa za kutosha hospitalini sio kufunga maduka nje ya hospitali. Yakisha fungwa na hospitali hazina dawa halafu???
  14. duet

    JamiiForums Tanzania Vitunguu vinapatikana gunia 80

    Vitunguu vinapatikana Mvumi kilosa karibu kabisa na barabara na vipo ghalani. Mzigo unakadiriwa kuwa gunia 80-100. Mwenye uhitaji ani inbox.
Back
Top Bottom