Recent content by dr.malulu

  1. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania TLS ya sasa ina sura ya tawi la chama cha siasa

    Wewe nadhani ndo Tawi la chama fulani,but kwa tulikua tukiifuatilia TLS ya zamani na ya sasa.....tunaona makucha ya sheria sasa
  2. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Kesi namba 456: Jamhuri dhidi ya JamiiForums - Oilcom na Uchakachuaji/Ukwepaji kodi bandarini Dar

    Huyu anaeitwa Tundu Lissu,labda wamteke tu vinginevyo atawasumbua sana
  3. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    Sasa wamechukua daftari mnakimbilia jf kushitaki,wapuuzi kabsa mnataka mumbembelezwa na Nani...walikua wangapi ....piga ngumi hao
  4. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Marekani wameanza kuiga siasa za Tanzania!

    Madhara ya ndoto za visiwani Zanzibar...Una cha kuigwa na Marekani
  5. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu yamthibitisha Benjamin Sitta kuwa Meya wa Kinondoni

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtambua Mh. Benjamin Sitta kuwa meya wa Kinondoni. Hukumu hiyo imetolewa leo baada ya mahakama kutupilia mbali hoja za upande wa pili (Ukawa). Kama mnakumbuka siku ya uchaguzi polisi waliwakamata baadhi ya viongozi na wajumbe wa UKAWA sambamba na ongezeko la...
  6. dr.malulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bishop.Gwajima anamtafuta Mkudesimba

    Teh teh
  7. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Wanaosema Rais Magufuli hajui kiingereza waumbuka

    Duuuh.Kweli tochi ya Umeme baharini
  8. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: TANESCO haiwezi kulipa madeni kwa kupandisha bei ya umeme

    Mziki mbona unahangaika?.Jana si ulikua tare he moja ,..mwaka wako utaisha kweli wewe?
  9. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: TANESCO haiwezi kulipa madeni kwa kupandisha bei ya umeme

    Tarehe mbili leo, Drama Mpya. Nimemsikia Prof Muhongo akizungumzia mabadiliko ya bei ya Umeme. Amegusia mambo matatu muhimu. 1. Amesema TANESCO walikua na kawaida ya kujilipa bonus kila mwisho wa mwezi/mwaka. Akaongeza kuwa, mwaka jana alifanikiwa kuokoa mamilioni ya pesa yaliyokuwa yametengwa...
  10. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania MwanaHALISI: Msaidizi wa Mbowe kuibuka... Ni Ben Saanane

    Kaibuka wapi?,,
  11. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Merry X- mass Godbless Lema Ukiwa Gerezani

  12. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahojiwa kwa kumwita Rais Magufuli "Mtakatifu". Aachiwa...

    Kada fekiii
  13. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Namba ya simu na sms aloisoma Tundu Lissu mbele ya waandishi wa habari hii hapa

    Hata wakija ,hawana majibu mapya
  14. dr.malulu

    JamiiForums Tanzania Endelea kufanya hira lakini usisahau kuna kifo

    kufa lazima watakufa,hata wafanyeje ....lazima
Back
Top Bottom