Bishop.Gwajima anamtafuta Mkudesimba

Bishop.Gwajima anamtafuta Mkudesimba

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Gwajima kazingua aisee...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ndio wachungaji wetu hao nadhan maandiko yamewaisha vichwani mwao mfano Lusekelo anaimba kamata kamatia chini mbele ya madhabahu ajab kabisa hii ...
 
Aiseeee..[emoji15] [emoji15]
Hatari sana hii
 
[emoji38][emoji38] Aisee aliyegundua Fasihi nampa heshima yake ,ujumbe wa mkude Simba umefika haswa

Haya nenda kachukue Zawadi yako kwa Gwajima
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Ndio wachungaji wetu hao nadhan maandiko yamewaisha vichwani mwao mfano Lusekelo anaimba kamata kamatia chini mbele ya madhabahu ajab kabisa hii ...

tupiamo ka video mkuu [emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom