Endelea kufanya hira lakini usisahau kuna kifo

dr.malulu

Senior Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
133
Reaction score
60
YES:
Mtakufa tu,lazima mfe kwa sababu kila nafsi hai itayaonja mauti.Endeleeni kuonea watu,kunyanyasa wanyonge na kufanya kila aina ya hira lakini mkumbuke kifo kipo na mtakufa.Haijalishi utakufaje ,lakini utawala na mamlaka mlionayo yatafikia kikomo.Ipo siku Watanzania watakua huru ,iwe leo,kesho ama kesho kutwa(TIME IS THERE) mtaondoka tu.

Imefikia hatua tunaishi kwenye ardhi yetu as if ni watumwa,no body to say,no where to point a finger,maisha duni na kila aina ya mateso but you so happy and enjoying our wages.Kufa lazma mtakufa,na bila shaka kuna wengine tayari hatuko nao ,walijaa viburi,majivuno na ubabe wa kila aina lakini leo hatuko nao.

This is your own country,fanyeni mtakavyo.Chezeni na hakili zetu in any way but tu wazima wa macho na sio vipofu kama mdhaniavyo.Bomeoni mabanda yetu tutoe machozi ,tufuteni kwa kuturudishia maeneo bila mabanda.Fanyeni yote mnayoweza lakini Lazima mtakufa.

My brother and sister pelekeni watu jera mpendavyo,shikeni wote ikiwezekana tuone hata meno yao kwa bis bis lakini KUFA LAZIMA.

Tumenyamaza,Tunaona,Hatuna furaha,Hatuna amani,Hatuna upendo na tumekata tamaa...Time is a good teacher.....kila nafsi hai itaonja mauti.
 
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi sii nyingi!!!!!!

WATAKUFA TU!!!
 
Message imewafikia, wanadhani watatawala milele,

watu wasiseme wanawekwa ndani, watu wanaishi kwa hofu, what kind of leadership is this.
 
kufa lazima watakufa,hata wafanyeje ....lazima
 
YES:
Mtakufa tu,lazima mfe kwa sababu kila nafsi hai itayaonja mauti.Endeleeni kuonea watu,kunyanyasa wanyonge na kufanya kila aina ya hira lakini mkumbuke kifo kipo na mtakufa.Haijalishi utakufaje ,lakini utawala na mamlaka mlionayo yatafikia kikomo.Ipo siku Watanzania watakua huru ,iwe leo,kesho ama kesho kutwa(TIME IS THERE) mtaondoka tu.

Imefikia hatua tunaishi kwenye ardhi yetu as if ni watumwa,no body to say,no where to point a finger,maisha duni na kila aina ya mateso but you so happy and enjoying our wages.Kufa lazma mtakufa,na bila shaka kuna wengine tayari hatuko nao ,walijaa viburi,majivuno na ubabe wa kila aina lakini leo hatuko nao.

This is your own country,fanyeni mtakavyo.Chezeni na hakili zetu in any way but tu wazima wa macho na sio vipofu kama mdhaniavyo.Bomeoni mabanda yetu tutoe machozi ,tufuteni kwa kuturudishia maeneo bila mabanda.Fanyeni yote mnayoweza lakini Lazima mtakufa.

My brother and sister pelekeni watu jera mpendavyo,shikeni wote ikiwezekana tuone hata meno yao kwa bis bis lakini KUFA LAZIMA.

Tumenyamaza,Tunaona,Hatuna furaha,Hatuna amani,Hatuna upendo na tumekata tamaa...Time is a good teacher.....kila nafsi hai itaonja mauti.
Mbona watutolea stress zako aisee.kafanye kazi bhanaaa uingize kipato badala ya kulalamika
 
Hiyo ni dalili ya kushindwa maana hicho kifo ni cha wote hata mm na ww tumo..
 
NA WATAOZA NA KUTOA UVUNDO..
WASIFE KWA NINI MABAMBUCHA ?
 
Back
Top Bottom