Merry X- mass Godbless Lema Ukiwa Gerezani

Habari zenu,
Nachukua Fursa hii adhim kumtakia Kamanda Godbless Lema Siku njema ya X- mass akiwa Gerezani .
Napenda kumhakikishia kuwa haya ni mapambano ya kudai Haki na Uhuru katika nchi hii. Asijisikie upweke Watanzania wenye nia Njema na nchi Tuko pamoja nae.

Mabavu ya watawala tunayaona na imefanywa hivi kwa makusudi kama njia ya kukukomesha uache kusema serikali. Lakini napenda nikuhakikishie Lema we ni miongoni mwa mashujaa wachache katika nchi hii ambao wamejitolea nafsi zao ili kuleta utawala wa haki na demokrasia hapa nchini.Najuwa siku ya leo ulipenda uwe pamoja na familia yako lakini kwa sababu za Kisiasa wameamua ukae ndani.

Usihofu mateso yakizidi Ufalme unakaribia. Pole sana kamanda nakutakia sikukuu Njema ya X-mass ukiwa hapo Gerezani.

Nyie mnampumbaza mwenzenu kumwita kamanda mara shujaa hivi ni shujaaa wa kitu gani hasa mkiulizwa mtasema na dunia imtambue kama SHUJAA?? Au kule kukosa adabu kwake ndiyo mnamwita shujaa? Basi MPUMBAZENI AJIONE NI SHUJAA ATATOKA MWEZI JUNI. Mtu anajitakia mwenyewe kukaa gerezani leo hii mnamwita shujaa for what?? Mwacheni ateseke kwa ujinga wake kwani siasa ni matusi huyo EL mwenyewe sijawahi kumsikia akitukana pamoja na kudai kuibiwa kura huyo jmaa yenu kazi kuropoka tu haya sasa aendelee kuropoka hata humo gerezani kuna radio.
 
Watz tuache unafiki na kupakana Mafuta kwa mgongo wa chupa tumeshindwa kutafuta mbinu ya kumtoa kamanda alafu eti unamtumia salam za Christmas hii inaonesha no uoga kiasi gani tulip nao
 
Who cares!

Makosa ya kujitakia wakati kuna watu wako gerezani kwa makosa kama ya kuua bila kukusudia.

Yeye yuko gerezani kwa makosa ya kukusudia bila kujua kama amekusudia. Ujinga una gharama.

Wajanja kama kina Tundu Lissu wako nyumbani wakisherekea sikukuu na familia zao kwa sababu wanafahamu vizuri mipaka yao kisheria na kisiasa pamoja na kuwa ni wanaharakati wa kisiasa.

Wajinga ndio waliwao!
Unazingua
 
Who cares!

Makosa ya kujitakia wakati kuna watu wako gerezani kwa makosa kama ya kuua bila kukusudia.Sasa umeandika kitu gain...pitia kanisan kwangu tukuombee lazma una mapepo

Yeye yuko gerezani kwa makosa ya kukusudia bila kujua kama amekusudia. Ujinga una gharama.

Wajanja kama kina Tundu Lissu wako nyumbani wakisherekea sikukuu na familia zao kwa sababu wanafahamu vizuri mipaka yao kisheria na kisiasa pamoja na kuwa ni wanaharakati wa kisiasa.

Wajinga ndio waliwao!
 
Nyie mnampumbaza mwenzenu kumwita kamanda mara shujaa hivi ni shujaaa wa kitu gani hasa mkiulizwa mtasema na dunia imtambue kama SHUJAA?? Au kule kukosa adabu kwake ndiyo mnamwita shujaa? Basi MPUMBAZENI AJIONE NI SHUJAA ATATOKA MWEZI JUNI. Mtu anajitakia mwenyewe kukaa gerezani leo hii mnamwita shujaa for what?? Mwacheni ateseke kwa ujinga wake kwani siasa ni matusi huyo EL mwenyewe sijawahi kumsikia akitukana pamoja na kudai kuibiwa kura huyo jmaa yenu kazi kuropoka tu haya sasa aendelee kuropoka hata humo gerezani kuna radio.
Usinilazimishe mawazo yangu yafanane na ya kwako. Idiot
 
Watz tuache unafiki na kupakana Mafuta kwa mgongo wa chupa tumeshindwa kutafuta mbinu ya kumtoa kamanda alafu eti unamtumia salam za Christmas hii inaonesha no uoga kiasi gani tulip nao
Mbinu gani zaidi ya hizi za kisheria zinazofanyika.unataka watu wakavunje magereza waingie wamtoe? Dhamana imefikia pazuri atatoka kuendelea na kesi na kupambana na nduli.
 
Habari zenu,
Nachukua Fursa hii adhim kumtakia Kamanda Godbless Lema Siku njema ya X- mass akiwa Gerezani .
Napenda kumhakikishia kuwa haya ni mapambano ya kudai Haki na Uhuru katika nchi hii. Asijisikie upweke Watanzania wenye nia Njema na nchi Tuko pamoja nae.

Mabavu ya watawala tunayaona na imefanywa hivi kwa makusudi kama njia ya kukukomesha uache kusema serikali. Lakini napenda nikuhakikishie Lema we ni miongoni mwa mashujaa wachache katika nchi hii ambao wamejitolea nafsi zao ili kuleta utawala wa haki na demokrasia hapa nchini.Najuwa siku ya leo ulipenda uwe pamoja na familia yako lakini kwa sababu za Kisiasa wameamua ukae ndani.

Usihofu mateso yakizidi Ufalme unakaribia. Pole sana kamanda nakutakia sikukuu Njema ya X-mass ukiwa hapo Gerezani.
Unamsifu yeye SHUJAA akiwa ndani wewe mlegemlege ukiwa nje
 
Usinilazimishe mawazo yangu yafanane na ya kwako. Idiot

HATA WEWE USILAZIMISHE WATU KUUKUBALI UJINGA WENU NA KUPOST WENDAWAZIMU WA MTU NA KUMPA USHUJAA ASIOKUWA NAO HIVI KWA MATOPE ULIYONAYO KICHWANI MWAKO UNAWEZA KUMUITA CHIZI YULE KUWA NI SHUJAA KAMA HUJUI MAANA YA SHUJAA KASOME TENA.
 
Powa pita hivi basi
 
Heri ya sikukuu ya kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo Kamanda. Kiimani hujapungukiwa na kitu ndiyo maana tunajivunia ujasiri wako. Yuko Mungu atakupigania kwa maombi yetu.
 
..inapendeza kuona wanasheria wa serikali siyo wachovu, maana wana chama mfu mlizoea kujiita eti mawakili wasomi, naona usomi umefikia kikomo kamanda wenu ananyea ndoo leo sikukuu, na akome kabisa kudharau mamlaka
Wewe Unafaidika nini?
 
Back
Top Bottom