MwanaHALISI: Msaidizi wa Mbowe kuibuka... Ni Ben Saanane

MSIMISEKI SENIOR

JF-Expert Member
Nov 1, 2014
459
287
Ni kweli CDM wanafahamu alipo Ben?

Screenshot_2017-01-02-06-59-50-1.png

Updates

Sitaki kuamini kwanini MwanaHalisi iamini kile wanachokiita ANDISHI WALILOLIKUTA MLANGONI

Kitendo cha kuipa hilo Andishi ukurasa wa mbele yawezekana kuna kitu kinafichwa

Je, wana uhakika gani aliyeleta hilo andishi mlangoni kwamba siyo wabaya wa Ben?
Je, wana uhakika gani kama hilo andishi halijatengenezwa na wahuni kwa lengo la kupoteza mada kuu ya Ben kipotea?

Anyway nawawekea msome wenyewe maana mimi hii habari nilipoisoma yote bado imeniacha njiapanda

20170102_093541.jpg
 
Tu wekeeni habari kamili vichwa vya magezi wakati mwingine havina uhalisia...
 
Huyo Ben kama ni kweli alijificha ni mpuuzi sana siku nyingine atatekwa kiukweli na watu wataendelea tu na shughuli zao
 
Huwezi kupata comment kwenye hii post maana gazeti ni la kwao na waliyemficha / aliyepotea ni mtu wao.

Kama nakumbuka hash tag ya Bensaanane mwaka juzi [HASHTAG]#BringBackOurCDF[/HASHTAG], alikuwa ananikera kweli na uzushi wake wa kuwa CDF kapotea, sasa kapotea yeye, kweli mtenda akitendewa....
 
[HASHTAG]#MbowemleteBenakiwahai[/HASHTAG].
 
Kubenea be serious, unajishushia heshima mbele ya jamii. Wewe ni Mbunge! Una dhamana, usiwe kama Lumpen,
 
Huwezi kupata comment kwenye hii post maana gazeti ni la kwao na waliyemficha / aliyepotea ni mtu wao.

Kama nakumbuka hash tag ya Bensaanane mwaka juzi [HASHTAG]#BringBackOurCDF[/HASHTAG], alikuwa ananikera kweli na uzushi wake wa kuwa CDF kapotea, sasa kapotea yeye, kweli mtenda akitendewa....

Basi kumbe ile idea ya uzushi dhidi ya Mkuu wa Wazee wa kazi ndo ameamua kuiimplement yeye mwenyewe, kwa kujiteka na kisha kujiachia huru.
Kweli CDM Sasa wamekosa hoja, wanafanya vihoja vya haja!
 
Back
Top Bottom