Recent content by Dr.kapama

  1. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania Miss neddy baada ya kutoka kwenye Birthday Party ya beby yake Excel Jana jioni!!!

    This must be somewhere in Russia...si bure, izo liqour ni shida...
  2. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania CCM na UKAWA suluhu ya bunge la katiba hii hapa

    Jamani samhanini kuuliza sio ujinga...hivi UKAWA ni nini? Mwenye ufaham naombaa anijuze
  3. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania Sababu ya wanaomiliki vi-"BABY WALKER" kudharauliwa

    Kwenye die hard five ya 2013 tu nlikaona ka-vitz... Isitoshe wao wenyewe wnajua hasara ya hayo mashangingi ndo maana hawayaendeshi ovyo... C'mon man badili mtazamo wako uwe na fikra chanya kuhusu hili... Ni hayo tu
  4. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania Anguko la Diamond Platinumz kimziki

    Hii ni point kabsaaa...tatizo watu wanafikiri mziki ni kufanya kitu ambacho wachache tu wanakipenda. Unakfanya kitu watu wengi waridhike.kufanya kazi ili watu wengi iwezekanavyo waridhike. Nashanga mijitu mingine haina uzalendo na vya kwao. Dogo anapiga mzigo, chuki zako peleka kuleeee...
  5. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania Nauliza: Mke kuchukua pesa kutoka kwa mumewe bila ruhusa ni kuiba?

    Hayo mazoea yameanza lini?...
  6. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania Just simple

    I guess sometimes nchi zao zinaruhusu wao kufanya ivyo..ivi kweli hata kama ni wewe ndo waziri saa hii utajipata ndani ya UDA?...
  7. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania tatizo password apple ipad 4

    Sometimes anaweza akawa anasahau kuanza na upper case letter coz thats how apple ID mara nyingi zinafungwa...
  8. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania Waifu ananitegea!

    Aisee bidada umetisha...ivi wife kama ninyi si mpo wachache sana eeh?...
  9. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania unatumia jina gani instagram??

    Hahaha is this da name or train...?!?
  10. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania Nombeni Link ambayo Naweza Ku-download Movie za SHREK

    Hiyo file ndo inafanyaje mkuu?
  11. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania CRISTIANO RONALDO For Ballon D'Or 2013

    i'm so glad that he made it.............
  12. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania Bongo movies...

    Duh...nomaa
  13. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania Valuation Calculator for Used Motor vehicles and CRSP List - TRA WANAKISIA BEI ZA MAGARI?

    Jamani mi nataka kujuzwa...kwani izo bei ni nani hasa pale TRA ndo wanazipanga...coz mnaweza lalamikia staffs wote kumbe kuna mijitu imeamua tu kukomoa watz...
  14. Dr.kapama

    JamiiForums Tanzania Pita hapa ushauri kisha nasema asante na uondoke zako.

    Umekosea...kwanini utembee na mchumba wa mtu ilhali huna nia ya kumuoa?... Ivi kweli kuchapiwa ni siri ya ndani...kweli??:what::D:confused::eek:
Back
Top Bottom