It doesn't necessarily mean you are in to her.
Ila jamani some men are so attractive.
Kama OS.
(asipaone hapa please).
cc: OLESAIDIMU kwa hatua zaidi hapo penye red. Ooooh! Nimejisahau OS dont read this.
It doesn't necessarily mean you are in to her.
Ila jamani some men are so attractive.
Kama OS.
(asipaone hapa please).
She is nuts.
My husband mpaka ananiulizaga'hivi unajua mi ni mmeo' manake kama hajaona mzigo umepita mi ndo nitamshtua.
Cheki kitu hicho, wezereee. Anaishia kucheka.
Other times kama ya ukweli mno napiga honi, itabidi tu apunge yeye mkono because mi siwezi kupunga, lols.
cc: OLESAIDIMU kwa hatua zaidi hapo penye red. Ooooh! Nimejisahau OS dont read this.
Mkeo Mgonjwa huyo
Hahaha.
kwenye maisha kuna matatizo (hii inawahusu watoto), na kuna changamoto (hizi ni za watu wazima).
mkikua mtaacha
haina makosa coz amevaa free style...wasiwasi wangu ni wife akiona halafu akifikiria unavyorudi home na sura ya mbuzi ku-maintain respect and orders angekuzibua makofi!