Chanaiti
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 208
- 93
yaan hii post imefanya nikucheke kwa dharau maana umekurupuka tu.hivi unajua kuna "baby walker" ambazo ni expensive and comfortable kuliko hiyo escudo??uko wap nije nkupe lift kwny 2009 vw golf gti yangu thn tuone ukirudia huu usemi wako.
Tumekua wengi tuliocheka tena nimecheka kwa sauti. Hivi mbona mnadanganya wenzenu hivi dah! Miji mikubwa ipi uliyoenda mtoa mada ukayakuta hayo. Mtu ana a lot of bills alafu akanunue gari yenye engine kubwa for what? What's the use of it. Acheni kupotosha na stori zenu za vijiweni.
Nasema kupanga ni kuchagua na muda hausubiri, sasa we nunua gari kwa kuangalia ati hii ni babywalker then utajipata kwa madeni tu