Recent content by Doreen22

  1. D

    Mtoto mkali huyuuuuuuuuuuuuuu!

    Kakaa poa sana
  2. D

    Hmmm....eti ni kweli...?

    Ngoja na mimi nijifunze kwa ustadi hiyo tabia ili nifanane zaidi na wanawake wengine, mi nilikuwa naona kuwa wanaume ndio waongo zaidi!
  3. D

    How often do you go for a poo?

    Mwone Daktari, hiyo ni too much, once kwa siku, asubuhi kabla ya kuoga ndio nimezoea mimi
  4. D

    How often do you go for a poo?

    Mwone Daktari, hiyo ni too much
  5. D

    Kama mimi mwenye degree nikikosa ajira ya muda ya sensa,je itamaanisha nini?

    Haina maana mtu kukaa tu home kama hajapata job yet badala ya kufanya hata ishu kama hii ya sensa, katika zungukazunguka or katika kufahamiana kidogo na baadhi ya watu wanaowork kwenye ofisi za serikali, anaweza kupata ishu kubwa zaidi, huwezi jua pengine kuna watu later watapata job za kudumu...
  6. D

    How To Make Love

    Mmh, kaazi kwelikweli, hayo mafumbo, mmh, lol, makubwa haya!
  7. D

    Mwakyembe: Marufuku abiria Kuchimba dawa njiani

    Ok, basi wahakikishe kuwa mabasi yote yanayoenda mbali, eg Mikoani, nje ya Dar, yana vyoo, anafikiri watu wanapenda kukojoa vichakani?!, wanakuwa wamebanwa na haja vya kutosha
  8. D

    Haelewi

    Embu shusha hilo zigo Shosti, hamia Airtel kama ulivyoambiwa, huko network inazingua, unajichosha bure na kujiumiza akili yako, kwa kuwa na mtu kama huyo
  9. D

    Sikumbuki ushujaa ule nilipata wapi!!!!

    Aah, wewe ni mtaalam, ni mpelelezi nini?!, nimeipenda technique yako
  10. D

    Majina ya wauza Madawa ya Kulevya: Kikwete anayo!

    Mbona Idd Azzan mmemsahau!, ingawa nasikia hata yeye Mheshimiwa sana, JK, ni mtu wa hizo deal, sasa sijui anaogopa akianza kuwataja wenzake na wao watamalizia kwa kumtaja na yeye pia, tena kwa ushahidi, mbona yatakuwa mambo!
  11. D

    Kwanini ni vigumu sana wananchi kujikomboa kutoka kwa 'wakoloni weusi?'

    Tanzania ni nchi ambayo ilipaswa kuwa na amani sana, kama tungeendelea kuishi kwa kuheshimiana na kujaliana, ni sehemu tulivu but viongozi hawa wababe, madicteta, wasiokubali ukweli na kukosolewa, wanaoifilisi nchi na kutumia rasilimali za Taifa kwa faida zao zaidi, wataifanya nchi itikisike kwa...
  12. D

    Kwanini ni vigumu sana wananchi kujikomboa kutoka kwa 'wakoloni weusi?'

    Sijui niseme nini hasa!, lakini kuna watu wanakesha wakiomba, wakiamini hawa ni ndugu zetu tu, shetani kawaingia, wanakesha kuwaombea wabadilike, wakati wao bila huruma wanatumaliza, wanaifilisi nchi, wao, wanatuona sisi mafala tu, kwa kweli watu wachukue hatua nyingine, hawa watu kwa sala...
  13. D

    Samsung yaleta simu inayofukuza mbu!

    Haya, wakazi wa Mto wa Mbu, Arusha!
  14. D

    Spika Anne Makinda apigwa laana misikitini Unguja - Annur

    Laana si lazima itoke kwa mtu mnayeendana naye Dini, mtu yoyote anaweza kukulaani na laana ikakufika kama kweli ulimkosea ipasavyo
Back
Top Bottom