Hmmm....eti ni kweli...?

Hebu nikapate lunch kwanza ,ninadhani nina mengi sana ya kuzungumza hapa(cheating nd being cheated)......Tot zo....
 
The first option is true. Women are better secret keepers.

Labda uongezee nyingine ya 'better pretenders'. Atatoka small house roho kwatuu, akifika kwa mumewe/bf with a wide smile you won't suspect a thing. Ila mwanaume akitoka small house utadhani alilishwa shubiri kisirani chake (sijui huwa hasira ya kuchunwa?)

Hehehe! Aisee, my AK47, kama unayo mwezi wa toba huu!

kumbe wanaume waga wana hasira wakichunwa kwikwi asa mbona utakuta anarudi tena kwa huyo huyo demu aliyemchuna ,
 
Uwiiiii, nifwile lol

Nawafahamu kibao wanaowalaza shemeji zao kwenye mninga. Na hapo wanapewa siri zote za wake zao. Ukitaka kujua siri ya mkeo, jenga urafiki wa karibu na ndugu zake wa kike. Kwishney!!
 
Nawafahamu kibao wanaowalaza shemeji zao kwenye mninga. Na hapo wanapewa siri zote za wake zao. Ukitaka kujua siri ya mkeo, jenga urafiki wa karibu na ndugu zake wa kike. Kwishney!!

Alafu ukimmega huyo shemeji yako ndo utapewa data kibao
 
'connection' ni,imaanisha chemistry au hata jografia tu, hata civics angalau iwepo kati ya sex partners

Hebu fikiria,

Umemfuma mmeo na mwanamke mwingine
Na wewe unaamua kufanya revenge
Utakamata mwanamme yeyote next door atakayekutongoza???

Hata kama unafanya kazi ofisi ya watu 200, kunaweza kuwa hakuna hata mmoja anayeshtua mshipa wako?

Najikanganya zaidi au unanielewa?
Wa kufanya naye

mpaka hapo ni kwamba wewe ndio ambaye hujanielewa, kwanini umkamate yoyote? kama umemkamata eo kwani must u revenge kesho/keshokutwa?....na pia inawezekana ukafanya hiyo hiyo kesho inategemeana, kuna wengine wana pending! izo chemistry na history/maths kwani huyo aliekutenda ulizipata kwake ghafla 2? c mazoea?
 
na mwanamke yoyote atakae cheat na "kuhisiwa"...wachia mbali "kufumaniwa" siku zote nawaitaga wapumbavu/wajinga wa mwisho kwenye hii dunia, kama huwezi/muoga/hofu tulizana......na hao wanaosema mwanamke hana koromeo basi cjui wanakutana na wanawake wa namna gani, wengi wetu tuna makoromeo balaa...sidhani kama kuna kiumbe anaejua kuficha siri kama mwanamke, mie nimefuzu hii kitu....weekend njema.

hahahah Mama Mkwe umenichekesha sana karibu sana weekend
Kula kunywa kulala bure .
Ila bado najiuliza kama kila kitu unapata kwa mwenza upendo,mapenzi,mahitaji muhimu
Sababu ya kucheat ni nini?
 
hivi kucheat ni kutoka kula k ya pembeni au k kuliwa pembeni tu sio? kwani kuna big deal gani..
 
hahahah Mama Mkwe umenichekesha sana karibu sana weekend
Kula kunywa kulala bure .
Ila bado najiuliza kama kila kitu unapata kwa mwenza upendo,mapenzi,mahitaji muhimu
Sababu ya kucheat ni nini?

yeye mwanaume hayapati hayo kwako? mbona ana cheat?, na kumbuka wanawake wengi tunafanya haya coz ya hawa wanaume ze2, mtu anafanya anajisahau kabisa kabisa kama ana majukumu yanamkabili,heshima ya nyumba kai2pilia mbali, tufanyaje? ni hivi ukimkuta mwanamke anae cheat wakati kwake mambo shwari huyo ana ugonjwa wa kutekenywa, tunafanya coz wanatufanya/wanatulazimisha tufanye.....haki sawa kwa kila mtanzania....mkwe naendelea hapa najua tarehe bado zinasoma ucjeniacha nikakabwa hapa na wahudumu.....mie nimecharara kabisa pesa zote nimemalizia kwenye michango ya kitchen party!
 
Haya mabusara huwa nayamiss sana ukipotea well said kabisa
 
Leo kazi yangu ilikua kutoa malaiki tuuuu,bado mbichiiii kwenye nyanja hizi........Ila nakiri kuwa nimejifunza kitu hapa:whoo:
cacico na BADILI TABIA huyu mme wetu mie sikuona chochote alichoandika mjue:rolleyez:........ Asprin:peace:
 
Last edited by a moderator:
Why women are usually better at cheating!
According to relationship expert Cooper Lawrence, women are better cheaters, because they are better at keeping secrets! Lawrence says cheating is up among women in committed relationships because women now have the means and the motive. Women are financially independent and more likely to walk away from a relationship that isn’t satisfying.

Haya wadada ya kweli haya?
 
na mwanamke yoyote atakae cheat na "kuhisiwa"...wachia mbali "kufumaniwa" siku zote nawaitaga wapumbavu/wajinga wa mwisho kwenye hii dunia, kama huwezi/muoga/hofu tulizana......na hao wanaosema mwanamke hana koromeo basi cjui wanakutana na wanawake wa namna gani, wengi wetu tuna makoromeo balaa...sidhani kama kuna kiumbe anaejua kuficha siri kama mwanamke, mie nimefuzu hii kitu....weekend njema.

Bold and underlined Nyamayao hakamatwi mtu hapo alahhh

Back
Top Bottom