Recent content by Doncy monco

  1. Doncy monco

    Mashuka classic kwa Tsh 25,000/= tu

    Sizes :5kwa6,6kwa6,7kwa8 bei 25000tuu shuka 2 na foronya mbili Rangi zipo rangi mbalimbali Location : Dar es salaam ,Riverside karibuni mawasiliano :0657386021
  2. Doncy monco

    Mtoto mchanga aokotwa karibu na shimo la choo baada ya mama yake kumtupa

    Mtoto mchanga ameokotwa akiwa hai karibu na shimo la choo baada ya Mama yake Rabia Yunisi mwenye miaka 19 mkazi wa Kijiji cha Merali Wilayani Siha kumtupa. Alipobainika amejitetea kuwa amemtupa baada ya kutelekezwa na Mzazi mwenzake, ugumu wa Maisha na hofu ya kufukuzwa nyumbani.
  3. Doncy monco

    Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT, aliyekuwepo apelekwa Mgambo

    Rais wa Tanzania, John Magufuli amefanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kumteua bosi mpya wa jeshi hilo na kumhamisha aliyekuwepo. Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Septemba 10, 2019 jijini Dar es...
  4. Doncy monco

    Tumia asali na Olive kwa midomo bora

    Unapopaka rangi ya mdomo unasababisha midomo yako kukosa uasili .Ipo namna ya kufanya ili kuirudusha katika hali yake ya kawaida Unachotakiwa kufanya;chukua kijiko Kimoja cha mafuta ya Olive au mafuta ya nazi .Tumia yale uliyotengeneza mwenyewe, changanya mchanganyiko huo katika bakuli, chukua...
  5. Doncy monco

    Rukwa: Ahukumiwa miaka 50 jela kwa kumbaka na kumpa mimba Mwanafunzi wa darasa la tano

    Mahakama ya Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa imemuhukumu kwenda jela miaka 50 Ally Kibwe mwenye umri wa miaka 20, Mkazi wa Kijiji cha Ninde kwa kosa la kumbaka na kumpa mimba Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya Mkilingila. ----- MAHAKAMA ya wilaya Nkasi mkoani Rukwa imemhukumu kwenda jela...
  6. Doncy monco

    Misungwi: Mtu mmoja afariki na wengine10 kuokolewa baada ya kufukiwa na kifusi

    Mtu mmoja amefariki na wengine wanane wameokolewa wakiwa hai baada ya watu 10 kufukiwa na kifusi wilayani Misungwi mkoani Mwanza.Juhudi za kumuokoa mmoja aliyebaki zinaendelea. Kamanda wa polisi mkoani Mwanza Muliro Jumanne Muliro amethibitisha Mtu mmoja amefariki, wanane kunusurika na mmoja...
  7. Doncy monco

    Baada ya Tundu Lissu kuangukia pua Mahakamani, Spika Ndugai asema ukiheshimu mamlaka huwezi kupata matatizo

    Baada ya Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam kutoa uamuzi wake ambapo Tundu Lissu ameangukia pua, Spika Job Ndugai amesema kwamba kama watu wakiheshimu mamlaka yaliyopo basi huwezi kupata matatizo. Spika Ndugai amezidi kusema... "Mambo haya pengine mtayasikia wenyewe huko nje, mimi sitaki...
  8. Doncy monco

    A man identified as Munene arrested in Thraka nithi for slaughtering and cooking a dog. DPP Haji save the man

    Polisi katika Kaunti ya Tharaka Nithi imemkamata Mwanaume aitwaye John Munene akiwa nyumbani kwake katika Kijiji cha Karimba ambapo Polisi ilikuta nyama ya Mbwa ikichemshwa na nyingine imehifadhiwa ndani Wakati akijitetea Mwanaume huyo amesema, aliamua kumchinja na kumpika mbwa huyo kwa kuwa...
  9. Doncy monco

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 73 ajifungua watoto mapacha India

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 73 katika jimbo la Kusini mwa Idia la Andhra Pradesh amejifungua watoto 2 mapacha wa kike. Wazazi waliomsaidia kujifungua mapacha hao wanasema amejifungua kwa njia ya kuanguliwa kwa mayai yake ya uzazi nje ya mfuko wa uzazi na baadae kuchanganywa na mbegu za...
  10. Doncy monco

    Kimbunga Dorian chauwa watu 30

    Idadi ya waliokufa kutokana na kimbunga Dorian huko Bahamas imeongezeka na kufikiwa watu 30. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Waziri Mkuu wa Bahamas Hubert Minnis. Awali mamlaka ya eneo hilo ilisema watu 20 wamekufa, lakini ilitoa onyo kwamba idadi ya mwisho inaweza kuongezeka zaidi.Minnis amesema...
  11. Doncy monco

    JamiiForums yapata tuzo ya Uhamasishaji wa Uhuru wa Maoni/Taarifa nchini kutoka UTPC

    Jf hongereni sana, kuhakikisha kuna Uhuru wa watu kuongea na kuhakikisha kunakua na haki na usawa bila kujali. God bless you muendelee kufanya vizuri na mpate tuzo nyingi zaidi.
  12. Doncy monco

    Waandishi watatu washikiliwa na Jeshi la Polisi Mwanza wakituhumiwa kuiba vifaa vya magari vya kampuni ya ya Sahara Media group

    Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza linawashikilia waandishi watatu wa habari Lilian Kidahya, Ezila Peter na Godfrey Kalabi wakituhumiwa kuiba vifaa vya magari vya kampuni ya Utangazaji ya Sahara Media group inayomiliki vituo vya Star Tv, Radio Free Africa na Kiss FM. Waandishi hao wanatuhumiwa na...
  13. Doncy monco

    Arusha: Kigogo OBC, wafanyakazi waachiwa huru, wakamatwa

    MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, jana imewaachia huru raia 10 wa kigeni na Mkurugenzi wa Kampuni ya wawekezaji ya Otterlo Business Cooperation (OBC) kutoka Falme za Kiarabu, Isack Mollel (59), baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuwasomea maelezo ya awali kwa zaidi ya mara nne. Hata hivyo...
  14. Doncy monco

    Vikao vya Bunge vyaanza leo. Miraj Mtaturu aapishwa rasmi kuwa Mbunge wa Singida Mashariki

    Ratiba iliyotolewa na Bunge la Tanzania mbali na kuelezea shughuli zitakazofanywa na mkutano huo wa 16 ni pamoja na kiapo cha uaminifu kwa Mtaturu ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi mkoani Singida. Katika ratiba ya Bunge, inaonesha miswada hiyo ni wa Sheria ya Serikali Mtandao wa Mwaka...
Back
Top Bottom