Kimbunga Dorian chauwa watu 30

Kimbunga Dorian chauwa watu 30

Doncy monco

Member
Joined
Jul 26, 2019
Posts
38
Reaction score
104
Idadi ya waliokufa kutokana na kimbunga Dorian huko Bahamas imeongezeka na kufikiwa watu 30.
Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa Waziri Mkuu wa Bahamas Hubert Minnis.

Awali mamlaka ya eneo hilo ilisema watu 20 wamekufa, lakini ilitoa onyo kwamba idadi ya mwisho inaweza kuongezeka zaidi.Minnis amesema dhoruba hiyo imesababisha uharibifu mkubwa.Umoja wa Mataifa ulisema takribani watu 70,000 wa Bahamas wanahitaji msaada wa chakula wa haraka.

Usiku wa Alhamis kimbunga Dorian kimeyakumba majimbo ya North na South Carolina nchini Marekani, kikiambatana na upepo mkali na mvua, ambavyo vilisababisha dhoruba kali.
 
Back
Top Bottom