Tumia asali na Olive kwa midomo bora

Doncy monco

Member
Jul 26, 2019
38
101
Unapopaka rangi ya mdomo unasababisha midomo yako kukosa uasili .Ipo namna ya kufanya ili kuirudusha katika hali yake ya kawaida

Unachotakiwa kufanya;chukua kijiko Kimoja cha mafuta ya Olive au mafuta ya nazi .Tumia yale uliyotengeneza mwenyewe, changanya mchanganyiko huo katika bakuli, chukua mchanganyiko huo na fanya kama unascrub midomo yako kwa kuizunguka.

Fanya hivyo kwa muda kidogo , kisha chukua kitambaa kisafi , ifute midomo hiyo.Fanya hivyo kila wiki na kisha uwe unamalizia kwa kupaka mafuta ya Vaseline au lip balm.
 
Back
Top Bottom