Recent content by donaldson don

  1. donaldson don

    JamiiForums Tanzania Lisemwalo lipo,mwanaume wa Dar amuomba nauli Magufuli

    Acheni mambo zenu nyie..
  2. donaldson don

    JamiiForums Tanzania Korea Kaskazini: Vyombo vya Habari vyaalikwa kushuhudia kuharibiwa kwa maeneo ya kujaribia makombora ya nyuklia

    Kwisha habari yake mkorea wamarekani ndio walivo washamteka kiakili tayari... Mambo ya propaganda za kivita
  3. donaldson don

    JamiiForums Tanzania Leo tujuane mikoa inayoongoza kwa watu wafupi

    Hata Mwanza nao wafupi
  4. donaldson don

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu wa kike ndo 'wife material' wasiochuja mtaani

    Naunga Mkono kwa hilo
  5. donaldson don

    JamiiForums Tanzania Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

    Mkuu huyo mgeni aliekuja kwako kumbe na yeye amejiunga JamiiForum
  6. donaldson don

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulinitesa sana, sababu nilikupenda

    Mkuu usikubali
  7. donaldson don

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya msukuma na mnyamwezi?

    Wanyamwezi wanapenda dezo alafu vijana wao wengi sana wanapenda kuchezesha Kamali zile za wizi
  8. donaldson don

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Story: Kwanini Upo Single?!

    Mimi Niko Single sababu wanawake wa Siku hizi hamna uaminifu
  9. donaldson don

    JamiiForums Tanzania Napenda kufahamu uhusiano uliopo kati ya Mnyamwezi na Mtusi ndani ya Tabora

    Duuuh kudadeki kumbe eeee ndioo maana nyie watu wa kanda ya Ziwa akili zenu na Matendo yenu zinaendana na wale Jamaa... Leo sasa ndioo nimejua kama mnaoleana na mnaishi nao na wanaoa kwenu tokea enzi za ukoloni kumbe nyie wakiii......! Samahani ila nawapenda lazima nifunge safari toka Dar...
  10. donaldson don

    JamiiForums Tanzania Kijana wa kazi aliemaliza form 4 au 6

    Unatafuta wa kubet nini
  11. donaldson don

    JamiiForums Tanzania Jamhuri kuleta mashahidi watano kesi ya Nondo

    Aliyataka mwenyewe
  12. donaldson don

    JamiiForums Tanzania Mpumzisheni Mpendwa Rais wetu Dr. Magufuli na ratiba zenu kwani mnamchosha sana

    Mkuu yule kwao usukumani kazi anazozifanya zinafanya na mtu ambae anaumwa siku hiyo asiende shamba maana kwao wanafanya kazi ngumu hatari... So kuhusu hilo mkuu usiwaze kabisa alafu kwa WASUKUMA wanaamini mtu usipofanya kazi unachoka haraka kimwili ndio maana unaweza kuta mzee wa kisukuma...
  13. donaldson don

    JamiiForums Tanzania Mastaa ndani ya JF

    Watu mnaotoroka fb mna taabu nyie
Back
Top Bottom