Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

Kwenu vijana mnaokula na kulala kwenu

1. Kama atakuwa anapika mlenda kila siku nitalalamika lakini moyoni.

2.Hata kama nimetoka kijijini ndo unipe kukuna nazi wakati kuna mabinti kibaooooooo!!!!?
3.Mimi nimetoka Mbinga, Njombe kwa Joto hili la Dar lazima niwe wa mwisho kuingia ndani.

4. Hapo sasa umezidi yaani nitoke kijijini nililie gari wakati siwezi kuendesha Acha dharau
ndugu.
5.Acha kujifanya mjuaji mkuu, hivi ni nani amewahi kukatiza hapo sebuleni kwako akiwa
amevaa boksa tu!? au unamaanisha hata ndani asivae? We sema tu hutaki wageni
kwenye nyumba ya baba yako.
hahahahahahaha mkuu nimecheka sanaa.
 
Hakuna kushangaza hapa. Aina ya watu kama mleta mada ndio waliojaa hapa Tanzania.

Ubinafsi,majivuni na dharau kwa wale aliowatangulia. Yaani ulivyoelezea utafikiri watu huwa wanapenda kuishi maisha hayo, OVYOOOO!

Kungekuwa na uhakika kwamba mtu ukifa unaenda kuzaliwa kwenye jamii au nchi nyingine tofauti na hii uliofia, hakika mimi ningekuwa nimeshakufa siku nyingi sana.

Watanzania watu ovyoo sana!
Agiza pepsi kwa mangi nakuja kulipa, [HASHTAG]#fact[/HASHTAG] mkuu...,
 
Usiwajali hao walengwa.Haaaaa!

Nilishakaa na mmoja mpaka akaota ndevu nikamtoa
kijanja nikampatia kitanda na godoro na visafuria kaza na kodi ya miezi 3. Ni kweli tunawapenda ndugu ila ni kwawadekeza nikamwambia mr huyu analemaa aende atajua mbele kwa mbele siku akikwama tutamsaidia. maana wengine hawajiongezi mtu anamiaka 29 bado kaganda kwa mwanaume mwezake.
Hahahaaa 29 yo bado anataka kukaa kwa mtu, tukisema twaonekana wachoyo.
 
Mimi kwangu waje tu, sina mda wa kukaa kuchunguza tabia zake wala sipendi ndugu ahisi anayanyasika, napendaga kuona otee ndani Tuna furaha MUNGU hukubariki kupitia hao kwani unapoumiza kichwa wale nini na yeye hukuangalia na kukubariki zaidi.
 
Mtakufa na roho zenu mbaya.

Hata kama nimetoka kijijini kuja kwako mjini ndo unipe kazi ya kuchambua maharagwe!!!
Nimetaja popote hiyo kazi? Hata hivyo we ni nani usichambue maharage? Usipeleke kiburi kwa watu bhana
 
Watu wa mjini ni wachoyo na wana roho mbaya sijapata kuona!!!

Ukimpigia simu kwamba unaenda kwake na una kiroba cha mchele au mahindi atakusubiri stendi/airport hata saa11 Alfjali!!

sasa mwambie unaenda kwake harafu una bag lako la shangazi kaja usikie, kwanza atakuuliza unarudi lini mkoani, ukimwambia nimekuja kufatilia issue fulani atakwambia nimetoka kidogo nitarudi baada ya siku 5
 
Don't force me to be what you intends, roho yangu nyeupeee, andiko Kama hili ni mwiba mkali kwa watanganyika msiopenda kujitegemea, Mimi sina ubaya wowote kwa binadam yeyote,

Hii nmeileta ili kuwapa makavu wale wanaoishi kwa ndugu zao wakomae na watimize majukumu yao, naonekana mchoyo!! Hahahaaa Tanganyika ni taifa la wanafiq sana, you don't want to be told the truth, rather you want some priceless offers.
Unadhani unalazimishwa? Si kweli ngosha. Ulichoandika kinasadifu ulivyo. Gawiza gete!!
 
Haya mambo ya kukaa kwa ndugu mbona yamepitwa na wakati. Mm Mwanamke wa hivyo namuachia nyumba akae na ndugu zake. Mm show yangu ikianza saa nne usiku hadi asubuhi. Yani mwanamke nahakikisha namvuruga kila pigo. Sasa hao mashemeji si watapata tabu tu ndani ya nyumba Kusikia mayowe ya dada yao akigeuzwa kama samaki.
 
Hahaaa kuna watu hawataki kuambiwa ukweli kabisaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha wanakuwa wakali utasikia wanasema "sasa kama baba yangu ana hela niondoke niende wapi" Mara waseme akili za kimasiki ndo zinatusumbua
 
kama unasema kitu cha hewani tu kwamba si wewe hiyo kitu imekutokea basi rudi tena kafanye utafiti. vijana wengi waliokwenda kwa ndugu zao hao ndugu ndio waliwaalika tena wengine waliwaahidi kuwawezesha waweze kusimama imara. cha ajabu wakaishia kufanywa vijakazi na kunyanyaswa. mtu ulimuita mwenyewe kuja kwako akaacha mipango yake yote then unataka arudi mikono mitupu, lazima akomae hapo kwako na ataanza tabia za ovyo tu maana ile ahadi ya kuja kumwezesha haijatimizwa. ni wachache sana waliojipeleka wenyewe bila sababu maalum. umenisikitisha sana kwamba mtoto hasiye wako hana haki kutaka usawa na wa kwako! hapo yaonyesha kuna roho mbaya ndani yake. kama gari mpe aendeshe cha msingi tu awe dereva mwenye sifa zote. tatizo tuna kasumba ya kuwa nikimsaidia kama wangu hatanikumbuka hatakula na wa kwao tu. IF YOU CAN GIVE DONT GIVE UP.
 
Hahahaha wanakuwa wakali utasikia wanasema "sasa kama baba yangu ana hela niondoke niende wapi" Mara waseme akili za kimasiki ndo zinatusumbua
Hahahaaa!
Ila vijana tungeamua kujituma na kuwa na malengo basi umaskini ingekuwa byebye
 
Agiza pepsi kwa mangi nakuja kulipa, [HASHTAG]#fact[/HASHTAG] mkuu...,
Ni kweli binadamu hatupaswi kuwa wavivu hata kidogo, mtu mvivu ni hasara kwa ustawi wa jamii na taifa zima kwa ujumla.

Lakini sasa je, ni katika mazingira yapi tunamuona huyo mtu ni mvivu, kama ana access za kujikwamua kutoka kwenye utegemezi ila yeye binafsi hayuko tayari na badala yake anasubiri handouts tu. Hakika huyo sio wakumuonea huruma ni mfukuza.

Ila kama unamuona mtu anafanya jitihada binafsi japo hazizai matunda na kweli ana nia, hauwezi kumuita mvivu na ni upuuzi kumnyanyapaa wakati unamuona anapigana kujiondoa na hali asiyoipenda.
 
Watu wa mjini ni wachoyo na wana roho mbaya sijapata kuona!!!

Ukimpigia simu kwamba unaenda kwake na una kiroba cha mchele au mahindi atakusubiri stendi/airport hata saa11 Alfjali!!

sasa mwambie unaenda kwake harafu una bag lako la shangazi kaja usikie, kwanza atakuuliza unarudi lini mkoani, ukimwambia nimekuja kufatilia issue fulani atakwambia nimetoka kidogo nitarudi baada ya siku 5
Hii nimeiona sana kwa watu wa dar wala hujakosea kabisa.
 
Ni kweli binadamu hatupaswi kuwa wavivu hata kidogo, mtu mvivu ni hasara kwa ustawi wa jamii na taifa zima kwa ujumla.

Lakini sasa je, ni katika mazingira yapi tunamuona huyo mtu ni mvivu, kama ana access za kujikwamua kutoka kwenye utegemezi ila yeye binafsi hayuko tayari na badala yake anasubiri handouts tu. Hakika huyo sio wakumuonea huruma ni mfukuza.

Ila kama unamuona mtu anafanya jitihada binafsi japo hazizai matunda na kweli ana nia, hauwezi kumuita mvivu na ni upuuzi kumnyanyapaa wakati unamuona anapigana kujiondoa na hali asiyoipenda.
niliwahi ambiwa siwezi kukusomesha hiyo milion tano kubwa, na program yangu ilikuwa ya mwaka 1 tu na baada ya hapo napata sifa either kujiarili au kuajiriliwa. ila mwanae kasoma miaka 7 primary ada milion 2 kwenda mbele. kuwekeza M 5 kwangu kwa kitu ambacho nikifanikiwa kwa mwaka naweza ingiza hata M 40 akaona kama atafilisika vile. nikasema baba angekuwa hai hasingeruhusu m 5 isitishe ndoto zangu
 
Mimi nakaa kwa shemeji halafu nyumba haina dari kibaya zaidi nalala chumba cha jirani na shemeji kila asubuhi shemeji ananiuliza jana naona ulilala kwa raha sana huku anatabasamu
 
niliwahi ambiwa siwezi kukusomesha hiyo milion tano kubwa, na program yangu ilikuwa ya mwaka 1 tu na baada ya hapo napata sifa either kujiarili au kuajiriliwa. ila mwanae kasoma miaka 7 primary ada milion 2 kwenda mbele. kuwekeza M 5 kwangu kwa kitu ambacho nikifanikiwa kwa mwaka naweza ingiza hata M 40 akaona kama atafilisika vile. nikasema baba angekuwa hai hasingeruhusu m 5 isitishe ndoto zangu
Mbona milioni 5 umeenda mbali,hata ingekuwa milioni 1 au laki 5 mtu kumpa mtoto ambae sie mwanae wa kumzaa ni shughuli kidogo
 
Back
Top Bottom