Recent content by don simon

  1. don simon

    Zitto: Kutajwa kwa Mbowe ni siasa tu,Makonda atabeba msalaba wake

    Bora yako umekosa hoja ya kujibu kaa kimya
  2. don simon

    Zitto: Kutajwa kwa Mbowe ni siasa tu,Makonda atabeba msalaba wake

    Bado sio sababu za kumutetea mbowe kutokuhusika. Ukifanya kitu kinyume na utaratibu uliowekwa lazima uwajibishwe tu.
  3. don simon

    Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    Wakujitegemea mtakuwa nyie acha kujishebedua bhac. Naona zinawauma sanaaaa(viloba team)
  4. don simon

    Rais Magufuli apigilia msumari jeneza la wauza Dawa za Kulevya, asema si kazi ya Makonda pekee

    Vip mbona buku 7 zimewakaa sana mdomoni na nyie mnazitamani nn. Au ndo mmekosa fursa.
  5. don simon

    Wangapi hatujawahi kuchepuka katika mahusiano yetu?

    Siwezi kuacha kuchepuka maana ka mchezo kako damuni
  6. don simon

    Hii ndio Bei ya unga wa sembe na dona nilipo

    Hakuna ukweli wowote kwenye Uzi huu. Upuuzwe ( usimuamini mtu wa kaskazini kilaisi )
  7. don simon

    Tundu Lissu hajawahi kunyamaza na hatonyamazishwa kamwe

    Kwa uelewa wa bavicha sipingi hoja yako. Unatekeleza haki ya kuongea.
  8. don simon

    FREEMASON :Vijana tuweni makini sana

    Naona watu bado wako "old world older" uoga wako ndio umasikini wako.
  9. don simon

    Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, Rais na CCM ni wabaguzi sana umoja wetu uko mashakani

    Bado sio sababu ya kunifanya nimchukie BWANA MKUBWA.
  10. don simon

    Nini kazi na matumizi ya karatasi aina ya Rizila

    Waneleta rizla badala kusokotea tumbaku kwenye gazeti. Over
  11. don simon

    GE2015 Orodha ya waliogombana na Magufuli na hatma zao

    Nanukuu "MTANIKUMBUKA" mwisho wa kunukuu
  12. don simon

    Jamani hali yangu ni mbaya sana! Wizara ya elimu mtuangalie sisi walimu tuliosoma sanaa

    Af kwanini mnaishia kusema chuo fulani hamtaji jina la chuo. Tuwekane sawa kwanza hapo.
  13. don simon

    Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    A man called god. Michael king
  14. don simon

    Mwanaume kukojoa maji badala ya spam /mbegu shida ni nini?

    Sababu ya kushindia maji af unaingia mchezoni
Back
Top Bottom