FREEMASON :Vijana tuweni makini sana

Mamboz ! Natumani wote wazima ,kiukweli ajira sasa hivi zimekuwa ngumu kupatikana.
Kutokana na swala hilo matapeli ni wengi mno na wanatumia njia tofauti ili waweze kusurvive na msoto huu wa life.

Mimi binafsi ni msichana wa 24 na bado natafuta kazi ila nipo makini sana na kila step yangu na majaribu yanayonikuta.

Juzi kuna msg nilipokea kwa mtu anaedai kuwa yy ni masonic master ambaye yupo Tanzania na lengo lake ni kusaidia vijana na watu wasio na kazi ili wajipatie pesa bila kutoka jasho ili.mradi tu ukubali masharti. Kama ww ni mzembe na huna Imani na dini yako 100% utataka kujiunga ...(Ingawa hawa ni.matapeli).

Ila waliniacha hoi sana waliniambia jinsi ya kujiunga ni lazima uwe na laki 7 as an entry fee ya ufreeMason .

Hivi mimi mwenyewe hohe hahe natafuta kazi laki saba naitoa wap ya kujinga? na hata kama ningekuwa nayo si bora nianze biashara hata ya kioksi kuliko Ushetani huu .
Wakuu ni kweli kwamba kuna watu wanataka kujiunga Free mason kwa moyo wote lakini watu hawajui that is a Devil worshiping thing 100000%.

Nina sikitika sana kuina vijana tunakuwa na intrest na vitu vya kishetani ,tena afadhali huyo wa laki saba unaweza kukata tamaa kuna mpaka wa elfu 30 unambiwa utume then after 24 hrs utakuwa member tayari .

Hata ingekuwa bure ni bora usali kwa mungu wako akubariki na chochote kuliko tamaa za kupata utajiri wa haraka haraka .

Eeh Mungu baba tuepushe na mabalaa ya hiki kizazi na vizazi vyetu vijavyo .
Mason ni lodge ya wanaume tu hao waliokupigia watoto wa kitaa walikua wanataka kukupiga
 
Kuna moja aliweka tangazo lake facebook nikamwambia acha utapeli akanifuata inbox akanitumia picha za maiti imefunikwa sanda iko kwenyw pango sijui imepakwa masizi akaniambia nakuonya dare me again uone kitakacho kupata.
Nikaitafta source ya hiyo picha kumbe ni watu wa maymar huko ndivyo wanahifadhi maiti zao nikaipata ile ile na picha za ziada nikamtumia nikamuuliza unadhani nitakuogopa kwa picha za google... hakuthubutu nijibu tena akapiga kimya
Ww ni genius
 
KUNA HAYA MAGAZETI YA UDAKU NA KUNA GAZETI LA SIMBA WANA MATANGAZO ZAIDI YA 20 YA WATU WANAIJIITA AGENT WA FREEMASONS NA UKITAKA KUJIUNGA WANAKUAMBIA UWATUMIE SHILINGI ELFU 30 TU NA UTAPATA UTAKASO
 
Kuna moja aliweka tangazo lake facebook nikamwambia acha utapeli akanifuata inbox akanitumia picha za maiti imefunikwa sanda iko kwenyw pango sijui imepakwa masizi akaniambia nakuonya dare me again uone kitakacho kupata.
Nikaitafta source ya hiyo picha kumbe ni watu wa maymar huko ndivyo wanahifadhi maiti zao nikaipata ile ile na picha za ziada nikamtumia nikamuuliza unadhani nitakuogopa kwa picha za google... hakuthubutu nijibu tena akapiga kimya
Ha ha haa. Mkuu ulimpatiaje?
Akapiga kimyaaa. Alijua kakutisha mwenzio.
 
Haki hawa watu ni matepelii wa kutupwa wana tricks nyingi sana ,,me walinifata inta direct wakaniambia tumeona nyota yako inang'aa sana na unaweza kuwa mtu mkubwa nkawaambia kwaiyo ,,eti kuna mtu tunataka umuingize freemason ni msanii Mdogo tunataka umuingize. Kama tulivomtumia wema amuingize diamond .sasa chukua no za huyu kijana mtafute ujenge naye uhusiano wa kimapenzi ndo itakuwa rahisi kumuingiza ukiweza mil.300 tunakupa kwa kuongeza member nkawaambia me Freemason Nina miaka 13 kwendenii huko kama mnataka njoeni niwaelekeze jinsi ya kujiunga ,,nkavuta picha jamaa anavogegeda watoto wa watu bure
 
Alafu wewe ni jinsia ya kiume halisi. Wanawake wasio na kazi hiyo laki saba ni ndogo sana kwao.....wangetoa bila hata kuja kuleta thread humu.
pole sana hujui unachokiongea ! Kila mtu na utashi wake ..kabla hujacomment jifikirie.
 
Haki hawa watu ni matepelii wa kutupwa wana tricks nyingi sana ,,me walinifata inta direct wakaniambia tumeona nyota yako inang'aa sana na unaweza kuwa mtu mkubwa nkawaambia kwaiyo ,,eti kuna mtu tunataka umuingize freemason ni msanii Mdogo tunataka umuingize. Kama tulivomtumia wema amuingize diamond .sasa chukua no za huyu kijana mtafute ujenge naye uhusiano wa kimapenzi ndo itakuwa rahisi kumuingiza ukiweza mil.300 tunakupa kwa kuongeza member nkawaambia me Freemason Nina miaka 13 kwendenii huko kama mnataka njoeni niwaelekeze jinsi ya kujiunga ,,nkavuta picha jamaa anavogegeda watoto wa watu bure
My dear ...yani kuna utapeli wa kila aina
 
Kuna moja aliweka tangazo lake facebook nikamwambia acha utapeli akanifuata inbox akanitumia picha za maiti imefunikwa sanda iko kwenyw pango sijui imepakwa masizi akaniambia nakuonya dare me again uone kitakacho kupata.
Nikaitafta source ya hiyo picha kumbe ni watu wa maymar huko ndivyo wanahifadhi maiti zao nikaipata ile ile na picha za ziada nikamtumia nikamuuliza unadhani nitakuogopa kwa picha za google... hakuthubutu nijibu tena akapiga kimya
Sawa mwanaintelijensia.
 
Ningekuwa nataka nisingetoa mawazo yangu juu ya ujinga huo na utapeli.
Hata hivyo Freemason haiwezi hitaji mtu kama wewe sio kila mtu anavyojisikia anaweza kujiunga na Freemason.
Sasa mbona mara ya kwanza kwa shidah zako ulitaka kujiunga kwa matapeli
 
Hahahaa wewe ni hopless kabisa ...can't argue with u my dear . Naona unatafuta maarufu na picha yako ya kudownload ...Aliokwambia mi nataka ujinga nani.
 
Kuna moja aliweka tangazo lake facebook nikamwambia acha utapeli akanifuata inbox akanitumia picha za maiti imefunikwa sanda iko kwenyw pango sijui imepakwa masizi akaniambia nakuonya dare me again uone kitakacho kupata.
Nikaitafta source ya hiyo picha kumbe ni watu wa maymar huko ndivyo wanahifadhi maiti zao nikaipata ile ile na picha za ziada nikamtumia nikamuuliza unadhani nitakuogopa kwa picha za google... hakuthubutu nijibu tena akapiga kimya
ulitumia akili sana.. safi sana !
 
Kumbe na wewe hupendagi ujingaujinga kama mimi..BIG UP
 
Back
Top Bottom