Kwa wanaofaham karatasi aina ya Rizila kumradhi kama ntakuwa nimekosea herufi ya jina la karatasi hizo., ninaomba mnijuze matumizi yake maana nimekuwa nikijiuliza kwa mda mrefu.
Zamani kulikuwa na kitu kinaitwa Tambuu/Kubeli ambayo ilipigwa marufuku kuwa ni moja ya madawa ya kulevya..., sas hizi karatasi kuuzwa madukani bila kujulikana kazi yake maana yake nin.
Maana mim huwa nahis labda hutumika katika kusokotea bang.., kwa wenye kufaham kwa kina naomba kujuzwa.